Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

BREAKING NEWS [emoji91][emoji91][emoji91]

MUNGU AMEJALIA KIJANA WENU NIMETOBOA KWENYE MRIJA WA ASALI

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hongera sana mkuu.

Kila la kheri na ukawe mtumishi mwema.

Usitusahau jobless kwa maombi na faraja tulioko bench, tuna warm up hadi majasho yanajikaukia na kujirudia kama duru ya Carbon[emoji3]
 
Wakuu nawashukuru sana kwa miongozo mlokuwa mkitoa since day one naanza interview za utumishi hatimae nami nimebahatika katika mkeka ulotolewa leo mchana....... Ningependa kuwashaur tusikate tamaa kwa mliobaki ni swala la muda tu

Pia kuhusu swala tulilolizungumzia mda mrefu la STATUS kwenye Web na app kwangu mimi zipo kama inavyoonekana kwenye picha nilizoambatinisha hapo ....asanten sana wakuu,,,tuzidi kupambana
Screenshot_20221208-153109_Chrome~2.jpg
View attachment 2439590
 
Wakuu nawashukuru sana kwa miongozo mlokuwa mkitoa since day one naanza interview za utumishi hatimae nami nimebahatika katika mkeka ulotolewa leo mchana....... Ningependa kuwashaur tusikate tamaa kwa mliobaki ni swala la muda tu

Pia kuhusu swala tulilolizungumzia mda mrefu la STATUS kwenye Web na app kwangu mimi zipo kama inavyoonekana kwenye picha nilizoambatinisha hapo ....asanten sana wakuu,,,tuzidi kupambanaView attachment 2439591View attachment 2439590
Hongera sana Chief! Mungu akubariki katika majukumu yako mapya.

Dear Mngojea mrija wa Asali achana na mambo ya Status baada ya kufanya Oral Interview ni kujitia stress tu. Subiria PDF au Simu
 
Wakuu nawashukuru sana kwa miongozo mlokuwa mkitoa since day one naanza interview za utumishi hatimae nami nimebahatika katika mkeka ulotolewa leo mchana....... Ningependa kuwashaur tusikate tamaa kwa mliobaki ni swala la muda tu

Pia kuhusu swala tulilolizungumzia mda mrefu la STATUS kwenye Web na app kwangu mimi zipo kama inavyoonekana kwenye picha nilizoambatinisha hapo ....asanten sana wakuu,,,tuzidi kupambanaView attachment 2439591View attachment 2439590
Ukawe mtumishi mwema kiongozi
 
Back
Top Bottom