Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yaniiii hongera sanaa mkuu hizi stutus zinanipa imani nizidi kuvuta subra hingera kwa mara nyingine
 
Hongera sana kiongoz...asnte sn kwa mrejesho wa status pia
 
Kiukweli nimeumia sana😭
Yani niliingia oral interview na pass mark kubwa. Status ikasoma shortlisted hadi Selected for oral. Kwenye Application ilisoma Selected for Null lakini matokeo yake nimekandwa. I dare to say it 🤕 hurt unconditionally. Jamani Hongera mliopata ila maisha hayako sawa
 
Polee mzee ni kawaida uziwaze sana uwakati utafika tu mzee
 
Kanzi data mzee inakuhusu usife moyo tujumuike wote hapa kuchungulia placement zijazo
 
Pole sana kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…