ππππoya yamefikia huko Tena?Aisee ni kweli kua na matumaini mkuu usije kumeza sumu ya panya π€£π€£
Security officer haamini yani daahNadhani ata afya yake itakaa sawa usikute zilikuwa stress tuππππ
Mie nmegundua kitu kwenye status ...wakt mnasubria matokeo status zinaweza badilika na kuwa shortlisted,,,zikaenda weee,, matokeo yakiwa njia kuchomoka ,zinachange toka shortlisted kwenda status ingine ..kwa mtazamo wangu nmegundua hicho ,,ila sikulazimishi kuamini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watasema "this is too much"hahhh
Usiwaze sana hizi mambo inabidi uzizoee mkuu ,mbona wengine tushafanya sana tukakandwa oral lakini zilipita hizoYaani usipopata psychological advice on time you can Commit suicide
Ni kweli mim mmojwapo ambao siaminiπ€£π€£π€£Mie nmegundua kitu kwenye status ...wakt mnasubria matokeo status zinaweza badilika na kuwa shortlisted,,,zikaenda weee,, matokeo yakiwa njia kuchomoka ,zinachange toka shortlisted kwenda status ingine ..kwa mtazamo wangu nmegundua hicho ,,ila sikulazimishi kuamini
Hapo hela nje njeππππSecurity officer haamini yani daah
Watu hawamini hilo ujie lakini lipo na nisha shuhudia wengi wakila shavu baada ya placement kutoka wakajikuta idara nzuri mnoNawashauri tu msiwe na expectations kubwa utumishi wanakuaga na maajabu sana inabidi uwazoee tu
Mungu ndo anaetoa riziki na kila mtu ana fungu lakeWatu hawamini hilo ujie lakini lipo na nisha shuhudia wengi wakila shavu baada ya placement kutoka wakajikuta idara nzuri mno
Kadco mzee vpMzee nimepata kazi yenyewe Airport Security officer halafu nimekandwa wee unadhani kanzi data unakaa kwa taasisi gani inataka kazi design iyooo πππππ€π€π€π€ Yaani kauli ya mandonga imenihusu, Ndoige
Au nimekosea jina la taasisπ€£π€£Kadco mzee vp
Yes upo sawa mkuu ,status ile nafikiri ni kwaajili ya referenceMie nmegundua kitu kwenye status ...wakt mnasubria matokeo status zinaweza badilika na kuwa shortlisted,,,zikaenda weee,, matokeo yakiwa njia kuchomoka ,zinachange toka shortlisted kwenda status ingine ..kwa mtazamo wangu nmegundua hicho ,,ila sikulazimishi kuamini
Hapo pesa achaaa mzee siyo subaru ni BMW X 5 anavutaHapo hela nje njeππππ
Kweli unapokosa mtu asivunjike moyoWatu hawamini hilo ujie lakini lipo na nisha shuhudia wengi wakila shavu baada ya placement kutoka wakajikuta idara nzuri mno
ππππHahhhh Kaka unanifanya niwaze TAA sasaHapo pesa achaaa mzee siyo subaru ni BMW X 5 anavuta
Kukosa sio mwisho wa maisha...piga moyo konde maisha yaendleeKweli unapokosa mtu asivunjike moyo
Njoo inbox nikupenyezee ubuyu uchangamkeMzee nimepata kazi yenyewe Airport Security officer halafu nimekandwa wee unadhani kanzi data unakaa kwa taasisi gani inataka kazi design iyooo πππππ€π€π€π€ Yaani kauli ya mandonga imenihusu, Ndoige
I feel you bro! Inauma sana ila ndio maisha lazima yaendelee kakaKiukweli nimeumia sanaπ
Yani niliingia oral interview na pass mark kubwa. Status ikasoma shortlisted hadi Selected for oral. Kwenye Application ilisoma Selected for Null lakini matokeo yake nimekandwa. I dare to say it π€ hurt unconditionally. Jamani Hongera mliopata ila maisha hayako sawa
ππππHahhhh Kaka unanifanya niwaze TAA sasa