Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watasema "this is too much"hahhh
Mie nmegundua kitu kwenye status ...wakt mnasubria matokeo status zinaweza badilika na kuwa shortlisted,,,zikaenda weee,, matokeo yakiwa njia kuchomoka ,zinachange toka shortlisted kwenda status ingine ..kwa mtazamo wangu nmegundua hicho ,,ila sikulazimishi kuamini
 
Ni kweli mim mmojwapo ambao siamini๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kwa Mliochaguliwa Hongereni sana na ambao bado it's matter of time, me nilikuwa na jamaa yangu alijilaumu sana kuikosa asali moja hivi kwasababu aliisubiri kitambo na aliitegemea mno, PDF ilivyotoka hayumo ilimuuma mpk Akakosa raha jamaa, hapo ilikuwa mwezi WA 7 kutoka mwezi wa 3 tangu afanye oral. Ilivyofika mwezi 9 Juzi tu akapigiwa simu akachukue barua na taasisi ileile psrs alikuwa ashasahau anaendelea na issue zingine lkn sasahivi kaingia Katika mkongo WA asali WA taifa, nikajifunza ni suala LA muda tu Hakuna kukata tamaa mambo mazuri yako mbele tujipe moyo, tujifunze na Mungu atusaidie sote kwa pamoja.
Kwa mliopata mlijibu maswali yote? Na je mlijibu kwa usahihi? Nini haswa kilifanya panel ikupe maksi kwa unavyohisi tunaomba Masada huo walamba asali wapya [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mie nmegundua kitu kwenye status ...wakt mnasubria matokeo status zinaweza badilika na kuwa shortlisted,,,zikaenda weee,, matokeo yakiwa njia kuchomoka ,zinachange toka shortlisted kwenda status ingine ..kwa mtazamo wangu nmegundua hicho ,,ila sikulazimishi kuamini
Yes upo sawa mkuu ,status ile nafikiri ni kwaajili ya reference
 
Mzee nimepata kazi yenyewe Airport Security officer halafu nimekandwa wee unadhani kanzi data unakaa kwa taasisi gani inataka kazi design iyooo ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿค•๐Ÿค•๐Ÿค•๐Ÿค• Yaani kauli ya mandonga imenihusu, Ndoige
Njoo inbox nikupenyezee ubuyu uchangamke
 
Kiukweli nimeumia sana๐Ÿ˜ญ
Yani niliingia oral interview na pass mark kubwa. Status ikasoma shortlisted hadi Selected for oral. Kwenye Application ilisoma Selected for Null lakini matokeo yake nimekandwa. I dare to say it ๐Ÿค• hurt unconditionally. Jamani Hongera mliopata ila maisha hayako sawa
I feel you bro! Inauma sana ila ndio maisha lazima yaendelee kaka
 
Back
Top Bottom