Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeona kaka afu zinafanya uhisi umefikia hatua inayotakiwa sasa
Tuishi kwenye shortlisted unaweza kuwa unafaulu lkn unaweza ukapata nafasi ulioitaka au ukaenda benchi ukasubria bahati yako nafasi ikitoka uchukuliwe... Tuna referr maelezo ya mdau mmoja wa JF alitoaga ufafanuzi halafu akapotea hadi leo sijaona koment yake ...tuangalie received [emoji28][emoji28]
 
Mkuu vipi kwenye app ilikuwa inasomaje?
 
Hapa naelewa, tusikate tamaa kk our day is coming soon

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mzee ile comment niliscreenshot for reference wanasemaga ogopa sana mtu anakupa jibu mara moja halafu hakujibu tenaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yaani usipopata psychological advice on time you can Commit suicide
Maisha lazima yaendelee usikae kuwaza sana umekosa mrija take it easy and move on,, haujawa wakwanza kukosa bro..cha msingi ni kujitafakari ,kujichunguza wapi ulikosea notes vimistake ,,ili next time Mungu akikusaidia kuingia kwenye kinyang'anyiro tena unajua wapi pakufanya vzr zaidi,, ndio maana hata wanaoanguka kwenye written wanaangalia makosa yao wana move on next time wanaenda wanafanikiwa wanaenda oral ,,ipo siku itakuwa yako kaka

NB: ukijiua haisaidii ,,zaidi ss wa mtaani kwako tutakuja kula ubwabwa kwenye msiba wako na kukubeba kwenda kukufukia..
 
Mzee ile comment niliscreenshot for reference wanasemaga ogopa sana mtu anakupa jibu mara moja halafu hakujibu tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Yule jamaa alitoaga madini sana ,mpka akasema mfn mlikuwa 8 kwenye oral ,zen baadae wanne wakafaulu watakuwa shortlisted,,zen kama wanatakiwa wawili au mmoja kwenye nafasi watafanyiwa vetting ,,mwenye marks za juu atapata ,, wengine wataingia kanzidata,, [emoji28][emoji1787][emoji1787] mwamba alitoaga madini ...nazani abeche alimuuliza chanzo kip ila jamaa alipotea aisee
 
alitegemea amwambie yeye ndo IT hahhhhπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kumbe umepata kazi ila kama unaiona mbaya au kazi ni kazi as long as umeingia kazini ,, shukuru Mungu ata kwa hilo kuna wengine wanatamani hyo ..nenda kachukue barua uende kazini kk
 
Honger sana ndugu,πŸ‘ŠπŸΎπŸ’ͺ🏿πŸ’ͺπŸΏπŸ’―

Nakutakia utumishi mwema, ukatumie elimu uliyonayo kuwa msaada katika jamii na Taifa kwa ujumla.

Pia kumbuka kutoa Shukurani, hilo jambo lako halikuwa rahisi.
 
Salamu wanajamvi!
Binafsi napenda kuchukua nafasi Hii kuwashukuru nyote kwa kwa miongozo yote humu ndani mpaka kufanikisha kuingia kwenye mrija wa asali


Kuhusu status baada ya oral iliandika SHORTLISTED kwa muda mrefu na juzi imebadilika kuwa selected for oral

Taasisi Ni TAA post ni security officer

Nawaombea Jobless wote mliobaki tuendelee na mapambano mpaka tone la mwisho bila kukata tamaa

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Asante kwa feedback kaka hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…