Wanjax jr
JF-Expert Member
- Jun 4, 2020
- 491
- 1,261
Tuishi kwenye shortlisted unaweza kuwa unafaulu lkn unaweza ukapata nafasi ulioitaka au ukaenda benchi ukasubria bahati yako nafasi ikitoka uchukuliwe... Tuna referr maelezo ya mdau mmoja wa JF alitoaga ufafanuzi halafu akapotea hadi leo sijaona koment yake ...tuangalie received [emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeona kaka afu zinafanya uhisi umefikia hatua inayotakiwa sasa