Ahsante Sana KakaAsante kwa feedback kaka hongera sana
Hongera sana mkuu.Vibe la kunyonya asali liacheni jaman, kama ulie km ucheke.....Alhamdulilah!
Simu yangu inashindwa ona status ya pili kwenye App iliandikwaje???Wakuu nawashukuru sana kwa miongozo mlokuwa mkitoa since day one naanza interview za utumishi hatimae nami nimebahatika katika mkeka ulotolewa leo mchana....... Ningependa kuwashaur tusikate tamaa kwa mliobaki ni swala la muda tu
Pia kuhusu swala tulilolizungumzia mda mrefu la STATUS kwenye Web na app kwangu mimi zipo kama inavyoonekana kwenye picha nilizoambatinisha hapo ....asanten sana wakuu,,,tuzidi kupambanaView attachment 2439591View attachment 2439590
Mwishowe utanifanya nimuunge mkono yule jobless aliyekutolea uvivu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hongera sana sana kiongozi ,ningeuliza ushuhuda wa status lakini ngoja nikae kimya jobless watanipiga mawe buree[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera sana mkuu.Wakuu nawashukuru sana kwa miongozo mlokuwa mkitoa since day one naanza interview za utumishi hatimae nami nimebahatika katika mkeka ulotolewa leo mchana....... Ningependa kuwashaur tusikate tamaa kwa mliobaki ni swala la muda tu
Pia kuhusu swala tulilolizungumzia mda mrefu la STATUS kwenye Web na app kwangu mimi zipo kama inavyoonekana kwenye picha nilizoambatinisha hapo ....asanten sana wakuu,,,tuzidi kupambanaView attachment 2439591View attachment 2439590
Selected for nullSimu yangu inashindwa ona status ya pili kwenye App iliandikwaje???
Pamoja sana mkuuHongera sana mkuu.
Nilinyimwa nafasi ya written JKCI kwa sababu ya kipuuzi, hata hivyo nilienda kukandwa kwingine na kupata uzoefu wa kukanda.
Ukawe mtumishi mwema hapo JKCI.
๐๐๐๐๐Hahhhh jobless imemuandikia not selected afu nikauliza status vipi ,aseeh akasema we jamaa "this is too much"hahhhh aseeh nikaona kumbe watu wapo serious na comment humu hahhhhMwishowe utanifanya nimuunge mkono yule jobless aliyekutolea uvivu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Asali ni dawa tosha, jamaa kapona moja kwa moja[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna mwamba amekula shavu TAA alikuwa hospital anaumwa Tangu juzi now kanipigia anaomba ruhusa mlija mtamu acheni
Pamoja sana kiongoziPamoja sana mkuu
Hongera sana mkuu.Salamu wanajamvi!
Binafsi napenda kuchukua nafasi Hii kuwashukuru nyote kwa kwa miongozo yote humu ndani mpaka kufanikisha kuingia kwenye mrija wa asali
Kuhusu status baada ya oral iliandika SHORTLISTED kwa muda mrefu na juzi imebadilika kuwa selected for oral
Taasisi Ni TAA post ni security officer
Nawaombea Jobless wote mliobaki tuendelee na mapambano mpaka tone la mwisho bila kukata tamaa
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh jobless imemuandikia not selected afu nikauliza status vipi ,aseeh akasema we jamaa "this is too much"hahhhh aseeh nikaona kumbe watu wapo serious na comment humu hahhhh
๐๐๐๐Nikajua kuichakata kimasihara hahhHongera sana mkuu.
Ukawe mtumishi mwema.
Kila la kheri kwenye kuichakata Asali ya Taifa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikajua kuichakata kimasihara hahh
Hahahaha Mimi nitakuwa mtumishi mwemaHongera sana mkuu.
Ukawe mtumishi mwema.
Kila la kheri kwenye kuichakata Asali ya Taifa
Shukrani sana kiongozHongera sana mkuu.
Hapa tupo kama kwenye foleni, mkileta shuhuda hivi mnatupa na sisi moyo wa subira maana zamu inakaribia baada ya ninyi kustep up.
Ukawe mtumishi mwema mkuu
๐๐๐๐Hahhhh mzee nitaichakata hata kwenye Subaru hahhh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ORCI watoe tu placement ili ukawe busy na kuandaa matherapy huko, ukirudi geto uko hoi huna muda wa kuwaza kuchakata
Inshallah kiongozi tunaamini kaka muda utafika tuMimi naamin kila mwenye imani na nia atatoboa.....