Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Hahah usiwapanikishe wanaSiyo kwa wote amini hivyo kunavwengine bado shortlisted hadi sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah usiwapanikishe wanaSiyo kwa wote amini hivyo kunavwengine bado shortlisted hadi sasa
😂😂😂😂Ushaanza kuwatishia jobless sasa hahhhhSiyo kwa wote amini hivyo kunavwengine bado shortlisted hadi sasa
😂😂😂😂Hahhhh anataka kuwauwa na presha hahhhhh😂😂😂😂haya mambo yanataka uzoee tuHahah usiwapanikishe wana
Ile kucheza cheza kwa hisia zangu nahisi wanafanya final referenceHahah usiwapanikishe wana
Kwa hiyo wazee wa selected for oral wamepindua meza sio 🤣🤣😂😂😂😂Hahhhh anataka kuwauwa na presha hahhhhh😂😂😂😂haya mambo yanataka uzoee tu
😂😂😂😂Status zinaonesha hatua fulani sasa kama hukupita hatua moja wapo hahhhhKwa hiyo wazee wa selected for oral wamepindua meza sio 🤣🤣
Ila lazima upitie shortlisted mzee ndiyo urudi huko rejea ushuhuda mbali mbali nyuma 😂😂😂Kwa hiyo wazee wa selected for oral wamepindua meza sio 🤣🤣
Yes naamini ukiingia kwenye oral huwa tunatofautiana marks kidogo sana kwahiyo wengi hubaki data baseIlila kikubwa naamini kila mtu atapata utokee kanzi data au first pdf bora mrija tu
Yes yes usipopita hiyo hatua wala sitaki kucomment watakuja wanipige bure humu😂😂😂😂Ila lazima upitie shortlisted mzee ndiyo urudi huko rejea ushuhuda mbali mbali nyuma 😂😂😂
Nilivyosoma hizo shuhuda imebaki nimuachie mungu atende 🙏 kwetu sote inshallahYes yes usipopita hiyo hatua wala sitaki kucomment watakuja wanipige bure humu😂😂😂😂
Inshallah wote tutapata huwa najua mtu mpka ameweza kutumia jf basi ana uwezo mkubwa kiakili ndo maana hata unaona shuhuda ni nyingi zakutoboaNilivyosoma hizo shuhuda imebaki nimuachie mungu atende 🙏 kwetu sote inshallah
😂😂😂😂kabisa ni hatua tu kama hatua za ukuajiIla kama bado hujapitia Shortlisted bado upo seleçted for oral tangu uingie oral utaipitia tu hiyo hatua suala la muda tu
Ifute hapo mtumie pmmakofia360 nicheck nataka kubonga na wewe 0784408800
Inshallah ndugu nasi tunakuombea sana hukoNi kweli kabisa mkuu, ila ukiingia kweli kulamba asali kuna mambo yanakua simple sana tofauti na ujobless, nawaombea sana mfanilishe ndugu zangu.
Serikali waongeze ajira za kutosha si kutoa ajira kwa kulenga na manati nafasi moja inagombaniwa na nyomi halafu ajira ni chache yet zinatoka kwa mafungu mafungu ,huku ni kupoteza nauli na muda .😂😂😂😂😂Mwanangu Jana tu ulikua jobless kama mimi tena wakuulizia status kama mimi leo umetoboa daaah uhakika sana mzee lazima tutatoboa humu
Hivi Kuna mtu aliewahi kuandikiwa not shortlisted baada ya oral??Kwahiyo hata ukiandikiwa not shortlisted mchawi PDF tu