Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

😂😂😂😂😂Mwanangu Jana tu ulikua jobless kama mimi tena wakuulizia status kama mimi leo umetoboa daaah uhakika sana mzee lazima tutatoboa humu
Serikali waongeze ajira za kutosha si kutoa ajira kwa kulenga na manati nafasi moja inagombaniwa na nyomi halafu ajira ni chache yet zinatoka kwa mafungu mafungu ,huku ni kupoteza nauli na muda .
 
Back
Top Bottom