Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mzee nimepata kazi yenyewe Airport Security officer halafu nimekandwa wee unadhani kanzi data unakaa kwa taasisi gani inataka kazi design iyooo [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji856][emoji856][emoji856][emoji856] Yaani kauli ya mandonga imenihusu, Ndoige
Bila shaka ulipitia jkt, if yes basi Unaweza kupata kazi TFS, BANDARINI, NATAPA, NGORONGORO

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Asali ni dawa tosha, jamaa kapona moja kwa moja[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kaka unaweza ukachelewa wakaamua kuchomoa mtu kwa data base.....maana baadh ya taasisi wanataka wafanyakazi fasta na wanatakiwa wote wafike kwa pamoja ili wawape training kidogo japo siyo kwa taasisi zote lakini kwa TANZANIA AIRPORT AUTHORITY, nilazima wapewe mafunzo so ukichelewa unaweza ona mwana si wako

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom