Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kaka unaweza ukachelewa wakaamua kuchomoa mtu kwa data base.....maana baadh ya taasisi wanataka wafanyakazi fasta na wanatakiwa wote wafike kwa pamoja ili wawape training kidogo japo siyo kwa taasisi zote lakini kwa TANZANIA AIRPORT AUTHORITY, nilazima wapewe mafunzo so ukichelewa unaweza ona mwana si wako

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu
 
Kwaiyo Training Mara nyingi huanza baada ya muda gani toka siku ya kuripoti kazini na kukamilisha taratibu zote za ajira

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Sina uhakika lakin ni muda mchache tu.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu maana wengine tunaona taasisi zao zinawachelewesha Sana kuanza kazi mfano TRC waliitwa kazini March mwaka huu wakaripoti Ila wakaambiwa warudi nyumbani watapigiwa simu wamekuja kuitwa mwezi August kuanza kazi, so wamekaa home miezi 5 sijui inatokana na Nini hii Hali

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Sina uhakika lakin ni muda mchache tu.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Maana kuna jamaa angu alipataga ajira hapo TAA post ya Assistant Aircraft Marshaller. Baada ya kuchukua barua zao PSRS enzi zile ofisi zipo Dar wakaenda kuripot wakaanza mafuzo na kulikuwa napepa pia maswali hadi ya physics... na waliambia atakae feli sana atapigwa chini ila intake yao wote walifanya vizuri ..na mida wa mafunzo unapewa hela sio bure

Mafunzo walitumia muda gani na walifanyia palepale DSM?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Maana kuna jamaa angu alipataga ajira hapo TAA post ya Assistant Aircraft Marshaller. Baada ya kuchukua barua zao PSRS enzi zile ofisi zipo Dar wakaenda kuripot wakaanza mafuzo na kulikuwa napepa pia maswali hadi ya physics... na waliambia atakae feli sana atapigwa chini ila intake yao wote walifanya vizuri ..na mida wa mafunzo unapewa hela sio bure

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
TAA kunakuwaga na mafunzo hasa kwa wale operators hayo mafunzo kwa wengine huchukua mwaka mmoja lakini unakuwa unalipwa na Kuna mitihani pale lakini ukiferi unarudia Tena mpaka ufaulu lakini watawachimba beat kuwa ukiferi ndo bye bye ili mzingatie mafunzo hayo Kuna jamaa zangu wapo pale
 
Mafunzo ya mwaka mmoja si balaa [emoji23] unamaliza probation ukiwa training huko balaa sana

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Mafunzo ya mwaka mmoja si balaa [emoji23] unamaliza probation ukiwa training huko balaa sana

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Nimesoma Hr nimefanya interview Security nimekosa😀😀😀wakuu nauliza je, naweza kupata placement ya U-HR endapo nimo data base na nafasi zikipatikana au ntakuwa database kufit nafasi za ulinzi tu🤗🤗???
 
Back
Top Bottom