Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa security officer nadhani ni mwezi mmoja labda lakini wale operators ,air controller inakuwa mwaka mzima yani
Ila hata security officer mafunzo ya mwezi mmoja hayatoshi maana aviation industry Ni kitu kigeni kwa karibia watu wote hivyo lazima kuanza na introduction mpaka mwisho watu wajue

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Yes lakini nyie kazi zenu sio za ajabu sana ngoja Kuna manzi mmoja yupo JNIA pale nikimpata nitamuulizia aniambie yeye alisoma hayo ya hr
 
Hayo ndio maneno,,,,,. Yaani watu wa JF mubarikiwe yaani mnajua kufariji sana hata ukikandwa ukija humu unapona mahasira na machungu yanapungua (kazi yenyewe nilikuwa siipendi Ulinzi)jokes)
Mzee kunywa maji mengi ww ni professional popote una fit tofauti na hawa security guard nk tulia pia kuna info nimekutumia pm
 
Hayo ndio maneno,,,,,. Yaani watu wa JF mubarikiwe yaani mnajua kufariji sana hata ukikandwa ukija humu unapona mahasira na machungu yanapungua (kazi yenyewe nilikuwa siipendi Ulinzi)jokes)
Hizo job descriptionView attachment 2440153
IMG_20220913_070904_323.jpg

Back
Top Bottom