Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Jobless unanichanganya kijana unataka kesho niingie Dodoma kuchukua barua yangu Nini [emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Amini mwanangu umetusua pazuri kazi luxury kabisa yani utupwe Jk nyerere au arusha miezi michache tu unatembelea makalio ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Amini mwanangu umetusua pazuri kazi luxury kabisa yani utupwe Jk nyerere au arusha miezi michache tu unatembelea makalio [emoji23][emoji23][emoji23]
Wadau mnanipanikisha Sasa [emoji23] [emoji23] naombeni msinikoseshe usingizi nikaanza kuota gari January tu hapa [emoji23][emoji16]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Wadau mnanipanikisha Sasa [emoji23] [emoji23] naombeni msinikoseshe usingizi nikaanza kuota gari January tu hapa [emoji23][emoji16]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Sure mzee pale kuna hela me wanangu sinawaona maisha yao ndani ya mwaka mmoja tu wapo gud kinoma
 
Back
Top Bottom