Wapo wengi tu ndo maana nikasema sisi wa jf usione tunaandikiwa shortlisted ukadhani ni hivyo tu Kuna ambao hawapo humu nao wana maajabu yao hukoYupo mmoja mimi nilipiga nae oral
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo wengi tu ndo maana nikasema sisi wa jf usione tunaandikiwa shortlisted ukadhani ni hivyo tu Kuna ambao hawapo humu nao wana maajabu yao hukoYupo mmoja mimi nilipiga nae oral
😂😂😂😂Siku zote hatupendagi kupata taarifa mbaya lakini ukweli upo waziWataelewa tu mwisho wa siku fact zako mana ukweli mchungu mm mwenyewe sasa nimetulia sin kimuhe muhe san cha placement najua mpka january hko
ngoja siku ukutane nayo😂😂😂😂😂😂😂Unasema ukweli au unachangamsha kijiwe tu,, [emoji23][emoji23][emoji23] yaan baada ya oral kufanya status isome NOT SHORTLISTED kweny web ,,mmh siamini ka ipo hii...@makofia360 embu fafanua zaidi bro
Hamna lolote hiz status chenga tu🤣Ila lazima upitie shortlisted mzee ndiyo urudi huko rejea ushuhuda mbali mbali nyuma 😂😂😂
😂😂😂😂ogopa hiyo chenga ikapindukia kwako mzee itakuwa ni balaa hahhhhHamna lolote hiz status chenga tu🤣
Kuna taasisi sijawahi ona zinatoa ajira mfano NHIF ,NSSF nk
[/QUOTE
Bora hata NHIF hao NSSF mmh sjwwahi ona kbsaa
Bila shaka ulipitia jkt, if yes basi Unaweza kupata kazi TFS, BANDARINI, NATAPA, NGORONGOROMzee nimepata kazi yenyewe Airport Security officer halafu nimekandwa wee unadhani kanzi data unakaa kwa taasisi gani inataka kazi design iyooo [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji856][emoji856][emoji856][emoji856] Yaani kauli ya mandonga imenihusu, Ndoige
c ndo MDA hzo mkuuKuna taasisi sijawahi ona zinatoa ajira mfano NHIF ,NSSF nk
Lipo sahihiAu nimekosea jina la taasis[emoji1787][emoji1787]
Chamuhimu subira tu mipango ya Mungu hiiBila shaka ulipitia jkt, if yes basi Unaweza kupata kazi TFS, BANDARINI, NATAPA, NGORONGORO
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Poa mkuu, unabahati sanaWalikua wanafanya replacement mkuu nikaitwa, sasa sijui walitoa jina kwa kanzidata pia.
Lile swali la watoto watakula degree halitakuwepo tena[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh kaka uhakika nikibeba barua tu kesho yake tu naweka utelezi ndani niwe najipimia bila kuulizwa
Fanya kupotezea man, hujui jamaa alikuwa na moody gan kwa muda huo.😂😂😂😂😂Hahhhh jobless wanahasira sana humu walinisema kwakiingereza "thi is too much" kama wamenisomesha wao hahhhh
Kaka unaweza ukachelewa wakaamua kuchomoa mtu kwa data base.....maana baadh ya taasisi wanataka wafanyakazi fasta na wanatakiwa wote wafike kwa pamoja ili wawape training kidogo japo siyo kwa taasisi zote lakini kwa TANZANIA AIRPORT AUTHORITY, nilazima wapewe mafunzo so ukichelewa unaweza ona mwana si wakoAsali ni dawa tosha, jamaa kapona moja kwa moja[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂Hahhhhh hili swali huwa sisahau aseeh afu niliulizwa manzi yupo serious ,sasa huna kazi unataka kuoa hao watoto watakula degree au makaratasi yakusolvia ,mamaeeee jobless hathaminiki 😂Lile swali la watoto watakula degree halitakuwepo tena[emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂Hahhh kaka yalishapita hapa tunapiga story tu muda uendeFanya kupotezea man, hujui jamaa alikuwa na moody gan kwa muda huo.
Bot wanatangaza kazi wao wenyewe na mara nyingi wanataka GPA zilizoshibaYeah mchawi oral mwamba amini kwamba na professional yako tu ikifeet vizuri kwe kachance kamoja ka BOT unaula tu au TCRA
Kanzi data inampeleka kokote, siyo lazima shughuli za ulinziBila shaka ulipitia jkt, if yes basi Unaweza kupata kazi TFS, BANDARINI, NATAPA, NGORONGORO
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
50Mulikua watu wangapi ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sikuwa mwenyewe alafu niliborongaKazi ushapata mama zama zenu hizi wanamama