Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu nawashukuru sana kwa miongozo mlokuwa mkitoa since day one naanza interview za utumishi hatimae nami nimebahatika katika mkeka ulotolewa leo mchana....... Ningependa kuwashaur tusikate tamaa kwa mliobaki ni swala la muda tu

Pia kuhusu swala tulilolizungumzia mda mrefu la STATUS kwenye Web na app kwangu mimi zipo kama inavyoonekana kwenye picha nilizoambatinisha hapo ....asanten sana wakuu,,,tuzidi kupambanaView attachment 2439591View attachment 2439590
Simu yangu inashindwa ona status ya pili kwenye App iliandikwaje???
 
Hongera sana sana kiongozi ,ningeuliza ushuhuda wa status lakini ngoja nikae kimya jobless watanipiga mawe buree[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwishowe utanifanya nimuunge mkono yule jobless aliyekutolea uvivu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wakuu nawashukuru sana kwa miongozo mlokuwa mkitoa since day one naanza interview za utumishi hatimae nami nimebahatika katika mkeka ulotolewa leo mchana....... Ningependa kuwashaur tusikate tamaa kwa mliobaki ni swala la muda tu

Pia kuhusu swala tulilolizungumzia mda mrefu la STATUS kwenye Web na app kwangu mimi zipo kama inavyoonekana kwenye picha nilizoambatinisha hapo ....asanten sana wakuu,,,tuzidi kupambanaView attachment 2439591View attachment 2439590
Hongera sana mkuu.

Nilinyimwa nafasi ya written JKCI kwa sababu ya kipuuzi, hata hivyo nilienda kukandwa kwingine na kupata uzoefu wa kukanda.

Ukawe mtumishi mwema hapo JKCI.
 
Mwishowe utanifanya nimuunge mkono yule jobless aliyekutolea uvivu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂😂Hahhhh jobless imemuandikia not selected afu nikauliza status vipi ,aseeh akasema we jamaa "this is too much"hahhhh aseeh nikaona kumbe watu wapo serious na comment humu hahhhh
 
Salamu wanajamvi!
Binafsi napenda kuchukua nafasi Hii kuwashukuru nyote kwa kwa miongozo yote humu ndani mpaka kufanikisha kuingia kwenye mrija wa asali

Kuhusu status baada ya oral iliandika SHORTLISTED kwa muda mrefu na juzi imebadilika kuwa selected for oral

Taasisi Ni TAA post ni security officer

Nawaombea Jobless wote mliobaki tuendelee na mapambano mpaka tone la mwisho bila kukata tamaa

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hongera sana mkuu.

Ukawe mtumishi mwema.

Kila la kheri kwenye kuichakata Asali ya Taifa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh jobless imemuandikia not selected afu nikauliza status vipi ,aseeh akasema we jamaa "this is too much"hahhhh aseeh nikaona kumbe watu wapo serious na comment humu hahhhh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikajua kuichakata kimasihara hahh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ORCI watoe tu placement ili ukawe busy na kuandaa matherapy huko, ukirudi geto uko hoi huna muda wa kuwaza kuchakata
 
😂😂😂😂Hahhhh mzee nitaichakata hata kwenye Subaru hahhh
 
Back
Top Bottom