Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hii placement ikitokaaa... huu uzi now uwee mwisho wakee...
Maana content za humu nyingi hazihusiani na title ya uzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Txt zimefikaaa 1k sasa.
mtoa uzi sijuiii yupi au keshapataga kazi??
 
Jibu short and clear mimi huwa siandiki essay kama kasema explain 5 point huwa naziwekea romani then naelezea yani cha muhimu point ionekane kwa pepa zote nilizojaza hivi nilifaulu kwa marks kubwa ila niliandika essay nikafail
 
Hivi Hawa jamaa wa ajira portal Ile namba yao ya malalamiko inapatikanaga kweli ? Naipigia tokea juzi but haipatikani wameninyima kuwa kwenye shortlist kwa mistakes zao wenyewe halafu kuwapata nako kwa taabu dahhhh!
 
Wakati wengine mkisubiri kuitwa kazini ngoja niwasanue hili, kuwa sio kila taasisi inatoa taarifa ya kuitwa watu kazini bali kuna taasisi zinawapigia simu wale waliochaguliwa na kufaul vizuri na kupewa taarifa za kuitwa kazi ushahidi kwa watu watatu kwa taasisi tofauti
 
doh
 
taasisi zipi bosi wangu unaweza kuzitaja??
 
Kwa manabii + mafuta ya upako + tiba za asili za kwa bibi

Huo mseto ukiuchanganya unaweza usifike kwenye interview ukaweuka

Umepanda gari kutoka Morogoro badala ya kushukia Dodoma unajikuta unaendelea hadi singida Manyoni
 
Ngoma imevuja tu

Watu wamefaulu kiasi hicho

Cut pointi ikiwa 90 kwenye hizi saili watatoboa wachache mnoo
 
Mimi naamini placement itatoka ingawaje kuna taaruki kama hizo za kupigiwa simu ila placement ipo huenda hao wanaopigiwa simu ni kutoka kanzi data maana kama taasisi ina chance mia na kwenye kanzi data kuna 30 hao watatarifiwa mapema kabla ya hawa 70 ambao nafasi zao zitatangazwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…