Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hii placement ikitokaaa... huu uzi now uwee mwisho wakee...
Maana content za humu nyingi hazihusiani na title ya uzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Txt zimefikaaa 1k sasa.
mtoa uzi sijuiii yupi au keshapataga kazi??
 
Jibu short and clear mimi huwa siandiki essay kama kasema explain 5 point huwa naziwekea romani then naelezea yani cha muhimu point ionekane kwa pepa zote nilizojaza hivi nilifaulu kwa marks kubwa ila niliandika essay nikafail
Oya wakuu Hivi haya maswali ya written interviews ujibuji wake ni kama wa class tu au Kuna namna yake ya ujibuji, MFANO ukaulizwa "what are the duties of a Psychiatrist to a patient" au "Distinguish between sociopath and Psychopath" I mean haya maswali ukiulizwa Hivi unashuka nayo kwa essay au ? Au unaenda straight tu na kumalizia kazi.


Imenibidi niulize maana nimefanya written interview yangu ya kwanza, karibia Pepa yote nilikuwa naijuwa na nikajieleza kwa kwenda straight to na maswali yalikuwa katika mfumo huo niliyowaekea hapo ila Sasa matokeo yalivyotoka nimekuwa na performance mbaya sana hata sijategemea.


Wakuu ambao mlitoboaga Pepa za written za explanation vipi nyie mlitoboaje, naomba muongozo wadau nidije kufanya MAKOSA mengine asee.5 point
 
Hivi Hawa jamaa wa ajira portal Ile namba yao ya malalamiko inapatikanaga kweli ? Naipigia tokea juzi but haipatikani wameninyima kuwa kwenye shortlist kwa mistakes zao wenyewe halafu kuwapata nako kwa taabu dahhhh!
 
Wakati wengine mkisubiri kuitwa kazini ngoja niwasanue hili, kuwa sio kila taasisi inatoa taarifa ya kuitwa watu kazini bali kuna taasisi zinawapigia simu wale waliochaguliwa na kufaul vizuri na kupewa taarifa za kuitwa kazi ushahidi kwa watu watatu kwa taasisi tofauti
 
Wakati wengine mkisubiri kuitwa kazini ngoja niwasanue hili, kuwa sio kila taasisi inatoa taarifa ya kuitwa watu kazini bali kuna taasisi zinawapigia simu wale waliochaguliwa na kufaul vizuri na kupewa taarifa za kuitwa kazi ushahidi kwa watu watatu kwa taasisi tofauti
doh
 
Wakati wengine mkisubiri kuitwa kazini ngoja niwasanue hili, kuwa sio kila taasisi inatoa taarifa ya kuitwa watu kazini bali kuna taasisi zinawapigia simu wale waliochaguliwa na kufaul vizuri na kupewa taarifa za kuitwa kazi ushahidi kwa watu watatu kwa taasisi tofauti
taasisi zipi bosi wangu unaweza kuzitaja??
 
Nauli ya kwenda na kurudi tu unaipata kwa shida sana.
Bado unakutana na pepa jiwe.

Mimi siku nikiitwa,jumapili yake naenda kukanyaga kisima cha Nabii Suguye.

Nikitoka naenda kununua mafuta ya upako,kitambaa chake hadi sabuni yake.

Halafu naenda na kitambaa cha nabii Geo Davies wa Arusha nikiwa najifuta jasho.

Hapo bibi yangu wa kijijini namuweka kama sub vile.
Tuone sasa kama watachomoka.

Ila 90% nyingi sana Kaka. Mimi siamini bado,kuna namna itakuwepo.
Kwa manabii + mafuta ya upako + tiba za asili za kwa bibi

Huo mseto ukiuchanganya unaweza usifike kwenye interview ukaweuka

Umepanda gari kutoka Morogoro badala ya kushukia Dodoma unajikuta unaendelea hadi singida Manyoni
 
Ndugu zangu

Baada ya kupata namba ya ERB na kujisajili full ajira portal
Nikaenda kuangalia matokeo ya kada yangu waliopita written interview. Ili na mimi nijue naanzia wapi.

Nakuta cut off point ilikuwa 84.2% nikasema labda pepa ilikuwa rahisi.Japokuwa kuna mwamba aligonga 5%. Hii ilikuwa PURA

Jana tena cut off point nakuta ni 90%,wakubwa mbona niliingiwa na hofu pamoja na ubaridi sana.Pepa hazivuji kweli hizi,maana 90% ni nyingi sana. Hii ilikuwa ERB.

Wakati mimi mara ya mwisho kupata hizo maksi ni Advance.
Mimi nina hisi,hizi pepa zimeanza kuvuja kama ile pepa ya TRA.

Au nyie mnaonaje wakuu? Kutoboa mbona naona ni kipengele sana.
View attachment 2354205View attachment 2354206
Ngoma imevuja tu

Watu wamefaulu kiasi hicho

Cut pointi ikiwa 90 kwenye hizi saili watatoboa wachache mnoo
 
Mimi naamini placement itatoka ingawaje kuna taaruki kama hizo za kupigiwa simu ila placement ipo huenda hao wanaopigiwa simu ni kutoka kanzi data maana kama taasisi ina chance mia na kwenye kanzi data kuna 30 hao watatarifiwa mapema kabla ya hawa 70 ambao nafasi zao zitatangazwa
 
Back
Top Bottom