makofia360
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 776
- 2,392
Sasa utumishi tatizo nini miezi mitatu watu tangu mwezi wa tano hadi leo wa tisa na bado saili zinaendeleaPSRS wao wanasaidia tu ila asilimia kubwa ni chuo kufanya mchakato.
Juzi written za ORCI, walikuwepo staff wa ORCI na PSRS wakishirikiana.
Oral imefanyika ORCI ambapo wao wameiendesha, PSRS wao wanabaki na jukumu lao la kuweka placements, ila vyuo mara nyingi wao wanaweka hadi placements.
MUST, Mzumbe walishafanya hivyo miezi iliyopita