Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wadauu inakueajeee, nimekuwa shortlisted MUHAS nina siku kama 5 sasa, cha kushangazaa
Siooni ratiba yamtihani kwny Portal

na wala sioni PDF yeyote ya shortlist UTUMISHI au Kweny website ya Chuo.

Nipo njia panda wasije wadau wakawa washapiga pepaa.View attachment 2356725
Hongera sana, ni zile nafasi za juzi kati(mwezi uliopita)?
 
Hebu kama mtu ana connection na taasis aliyifanya oral mwezi wa sita jaribuni kuuliza uliza juu juu huko tusije kuwa tuna subiri placement kumbe hakuna kitu hicho kabisa
DUCE jana kulifanyika interview cha kushangaza badala ya kutoa matokeo kwenye page ya sekretarieti ya ajira wanadai walio faulu waliwapigia simu waende kwenye oral leo .nikajiuliza huu utaratibu sekretarieti wameanza lini na je kama mtu kafeli amefeli kwa kupata alama ngapi na huyu aliyefaulu amepata alama ngapi waliogopa nini kuweka pdf kama ilivyo kawaida yao?
 
Ni uhuni wa kiwango cha juu kabisa wanafanya hao jamaa.ndio maana watu wanalalamika wanavujisha paper
 
Sisi tulifanya mwezi wa tano kuna waliopigiwa simu na barua wamepata tyar ila placement sijawah ziona kwenye website ya Utumishi[emoji23]
Duu, noma sana.

Hata kama wengine ni wasindikizaji ila wanachokifanya wanazingua sana.

Michakato ifanyike kwa uwazi halafu wanamaliza mambo gizani, wanazingua sana.
 
Back
Top Bottom