Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Niliwahi kushindwa swali 1 nikawaomba nilirudie mwishoni mwa interview jamaa akanikazia [emoji1787][emoji1787] nilimind sana
[emoji23][emoji23][emoji23] ss katka kupata watu ndio Maana wanatumia hyo njia ,toa 5 points ,umeshindwa wanaweka 0 wanatembea ,,ukibahatika ndio bahati yako aisee [emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii njia niya ovyo sana
Yaani ndo nakumbuka comment ya mdau mmoja alisema kutoa point 5 maswali 4 yaan point 20 inahitaji pumzi ya kutosha sana kutoa point zote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji3]. Siku ikiwa yako wamekulenga unaweza wapa mpka za ziada wanataka at least 5 unawapa 8 nane dadeki [emoji23][emoji23] ... bahati ikikutana na chansi Sasa [emoji23] [emoji23][emoji3]
 
Zile point sio mchezo mzee point tano lazima pumzi iwepo na maswali wakuulize uliyopitia bila hivyo hutoboi
 
We unaona hiyo hit n run ni njia muafaka ya kupata mtu sahihi?
Wao wanaassume nyote mnajua vitu ss ,ili tusiwe na mambo mengi ya viingereza ,,baada ya intro/background,, tupe point 5 uondoke ,,
Hapo uwezo wako wa kumention tu point 5 [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…