Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawanaga mjadalwa wale wababe sanaTatizo utumishi pale napo mpka mfikie hatu yakujadili ni mtihani😂😂😂😂😂
Wanakuaga wakorofi sana wale😂😂😂😂😂uombe tu ukutane na panel nzuri ,maana unakuta point unaona kama unataka ujazie maneno ili ieleweke afu Wenyewe wanakazia tu just mention. MamaeeeeNiliwahi kushindwa swali 1 nikawaomba nilirudie mwishoni mwa interview jamaa akanikazia 🤣🤣 nilimind sana
Ubabe mwingine hauna hata maana bs t kumtngenzea mtu ugumu ss sjui lengo nini afeli amaWanakuaga wakorofi sana wale😂😂😂😂😂uombe tu ukutane na panel nzuri ,maana unakuta point unaona kama unataka ujazie maneno ili ieleweke afu Wenyewe wanakazia tu just mention. Mamaeeee
Maana kama mtu swali 1 kakosa majibu kwa harka why mwisho msimpe chnce kama amekumbuka amalizieUbabe mwingine hauna hata maana bs t kumtngenzea mtu ugumu ss sjui lengo nini afeli ama
Kukomoana tu pale maana mtu haumpi chance yakufikiri kitu ni ufala tuUbabe mwingine hauna hata maana bs t kumtngenzea mtu ugumu ss sjui lengo nini afeli ama
Ndo hivyo sema wanazinguaga sanaMaana kama mtu swali 1 kakosa majibu kwa harka why mwisho msimpe chnce kama amekumbuka amalizie
[emoji23][emoji23][emoji23] ss katka kupata watu ndio Maana wanatumia hyo njia ,toa 5 points ,umeshindwa wanaweka 0 wanatembea ,,ukibahatika ndio bahati yako aisee [emoji23][emoji23]Niliwahi kushindwa swali 1 nikawaomba nilirudie mwishoni mwa interview jamaa akanikazia [emoji1787][emoji1787] nilimind sana
😂😂😂😂Hii njia niya ovyo sana[emoji23][emoji23][emoji23] ss katka kupata watu ndio Maana wanatumia hyo njia ,toa 5 points ,umeshindwa wanaweka 0 wanatembea ,,ukibahatika ndio bahati yako aisee [emoji23][emoji23]
Yaani ndo nakumbuka comment ya mdau mmoja alisema kutoa point 5 maswali 4 yaan point 20 inahitaji pumzi ya kutosha sana kutoa point zote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji3]. Siku ikiwa yako wamekulenga unaweza wapa mpka za ziada wanataka at least 5 unawapa 8 nane dadeki [emoji23][emoji23] ... bahati ikikutana na chansi Sasa [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii njia niya ovyo sana
Zile point sio mchezo mzee point tano lazima pumzi iwepo na maswali wakuulize uliyopitia bila hivyo hutoboiYaani ndo nakumbuka comment ya mdau mmoja alisema kutoa point 5 maswali 4 yaan point 20 inahitaji pumzi ya kutosha sana kutoa point zote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji3]. Siku ikiwa yako wamekulenga unaweza wapa mpka za ziada wanataka at least 5 unawapa 8 nane dadeki [emoji23][emoji23] ... bahati ikikutana na chansi Sasa [emoji23] [emoji23][emoji3]
We unaona hiyo hit n run ni njia muafaka ya kupata mtu sahihi?[emoji23][emoji23][emoji23] ss katka kupata watu ndio Maana wanatumia hyo njia ,toa 5 points ,umeshindwa wanaweka 0 wanatembea ,,ukibahatika ndio bahati yako aisee [emoji23][emoji23]
Sio njia sahihi maana kama mtu akiotea swali ndo ashapita hivyoWe unaona hiyo hit n run ni njia muafaka ya kupata mtu sahihi?
Mim kw mtazamo wng saili za utumishi ni za kukariri na sio za kumpima mtu uwezo wake as long umekariri mapoint umenyakua kazi vingenvyo umeliwa kichwa 🤣🤣Sio njia sahihi maana kama mtu akiotea swali ndo ashapita hivyo
Saa nyingin hawana hata presha ya uwingi wa watu lakn mwendo ndo huo huo "toa point zako tano tano umalize utoke 🤣🤣" hakuna kujiteteaSio njia sahihi maana kama mtu akiotea swali ndo ashapita hivyo
😂😂😂😂Kilichobaki tumeze madesa tuMim kw mtazamo wng saili za utumishi ni za kukariri na sio za kumpima mtu uwezo wake as long umekariri mapoint umenyakua kazi vingenvyo umeliwa kichwa 🤣🤣
Wao wanaassume nyote mnajua vitu ss ,ili tusiwe na mambo mengi ya viingereza ,,baada ya intro/background,, tupe point 5 uondoke ,,We unaona hiyo hit n run ni njia muafaka ya kupata mtu sahihi?
😂😂😂😂Kilichobaki tumeze madesa tu
Ni kumeza t mzee hakuna namna 🤣🤣