Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwa manabii + mafuta ya upako + tiba za asili za kwa bibi

Huo mseto ukiuchanganya unaweza usifike kwenye interview ukaweuka

Umepanda gari kutoka Morogoro badala ya kushukia Dodoma unajikuta unaendelea hadi singida Manyoni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahhaa, haya kushapambazuka tena, subira za placements ziendelee.

Wengine tulililia shortlists, zikatoka tukakandwa tukawa wa baridi na kutulia kama maji kwenye mtungi[emoji3][emoji3]
Hiyo kawaida mkuu,,,😂😂 Ila nikiangalia kajua na hali ya hewa sijui leo nako bila bila
 
Hata Kama watu wametoka kazi data lazima WATOE placement mkuu hao waopigiwa simu connection tu
 
Hii kweli hata Mimi nimeshudia
 
Hivi hawa open pia sii ilisimamiwa na PSRS?
PSRS wao wanasaidia tu ila asilimia kubwa ni chuo kufanya mchakato.

Juzi written za ORCI, walikuwepo staff wa ORCI na PSRS wakishirikiana.

Oral imefanyika ORCI ambapo wao wameiendesha, PSRS wao wanabaki na jukumu lao la kuweka placements, ila vyuo mara nyingi wao wanaweka hadi placements.

MUST, Mzumbe walishafanya hivyo miezi iliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…