Genuine raf
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 673
- 1,804
Mi najua not selected for null ndiyo nyekundu, selected for null ni kijani.ila yote kwa yote naamini status haina uhusiano na placement wazee..umefanya usaili UMEMALIZA kazi yako omba Mungu muachie yeye kama wakati ni wako hata iweje utapata tuHivi kuna selected for null nyekundu?
Umejuaje mzee,ngoja aje atatupa uzoefuwizy baba jeni bye bye [emoji112]
Kwani hakufanya usaili katokea tu kwenye placement au ongea naye vizuri atakusaidiaConnection pia usisahau,,,mimi nina jamaa yangu mishen Town jana Jkci namuona kwa mkeka .
Kumuuliza ananiambia kaa kimya,,haya maisha kaka...
Labda katokea kanzi data 🤣Connection pia usisahau,,,mimi nina jamaa yangu mishen Town jana Jkci namuona kwa mkeka .
Kumuuliza ananiambia kaa kimya,,haya maisha kaka...
Ila interview si alifanya?Connection pia usisahau,,,mimi nina jamaa yangu mishen Town jana Jkci namuona kwa mkeka .
Kumuuliza ananiambia kaa kimya,,haya maisha kaka...
Acha uwoga mzee, kuna selected for null(green) waliopata na selected for null(green) waliokosa pia walishatoa shuhuda huko juu...so we relax bado mambo yapo unclear.Wale wa kijani selected for null tushapigwa na kitu kizito sio make wanasema wenye nyekundu ndo wataramba asali najipanga next time
True ni mambo ya kawaida kabisawizy uko wapi? tangu placement itoke usiku sijakuona humu, umepita au umekandwa.
Kama umepita na umeanza kusherehekea ushindi kivyako huko kimya kimya, sio poa kwa sisi jobless wenye shauku ya kushare hiyo furaha.
Kama umekandwa, itakuwa sio bahati yako na bahati yako ipo itakuja muda ukifika. Njoo tushare hiyo huzuni na tuendelee kusonga mbele.
Ikiwa ya kijani oya oyaBasi ndo tushakandwa tayari
Wenye kijani
Selected for null inatokea kweny APP ,,ila kwa WEB huwa inasomeka selected for oral bas ...navyojua [emoji4]Duh hii mpya selcted for null alf nyekundu tena
Shuhuda huwa zinatupa moyo sanaHamna ushuhuda kwa waliopata hadi sasa
Naona kuko kimya au hamna hata mmoja aliepenya katika pdf ya jana
Wizy sijamuina leo amekuwa adimuPia zinatoka taasisi chache inaweza kua chanzo
Nahisi hata matokeo hajui kama yametoka, labda kapata changamotoWizy sijamuina leo amekuwa adimu
Mungu amsimamie mdau mkubwa sana hapa duuuhNahisi hata matokeo hajui kama yametoka, labda kapata changamoto