Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

wizy uko wapi? tangu placement itoke usiku sijakuona humu, umepita au umekandwa.

Kama umepita na umeanza kusherehekea ushindi kivyako huko kimya kimya, sio poa kwa sisi jobless wenye shauku ya kushare hiyo furaha.

Kama umekandwa, itakuwa sio bahati yako na bahati yako ipo itakuja muda ukifika. Njoo tushare hiyo huzuni na tuendelee kusonga mbele.
 
Wale wa kijani selected for null tushapigwa na kitu kizito sio make wanasema wenye nyekundu ndo wataramba asali najipanga next time
Acha uwoga mzee, kuna selected for null(green) waliopata na selected for null(green) waliokosa pia walishatoa shuhuda huko juu...so we relax bado mambo yapo unclear.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wizy uko wapi? tangu placement itoke usiku sijakuona humu, umepita au umekandwa.

Kama umepita na umeanza kusherehekea ushindi kivyako huko kimya kimya, sio poa kwa sisi jobless wenye shauku ya kushare hiyo furaha.

Kama umekandwa, itakuwa sio bahati yako na bahati yako ipo itakuja muda ukifika. Njoo tushare hiyo huzuni na tuendelee kusonga mbele.
True ni mambo ya kawaida kabisa
 
Back
Top Bottom