Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wizy anawapimia tuu [emoji23][emoji23][emoji23] anasoma comment zenu tu [emoji23][emoji23] ,,.maaana yupo online anajipanga ,,kutoa tamko
Lakututia moyo vijna wenzake ,Kama umekosa mapambano ya kutafuta mrija wa asali yataendelea ,,
wizy my bro kamooni bro,,
Vijna wanataka kusikia utelezi
 
Hongereni mliopata hakika mh. Samia anatufurahisha vijana. Lakini mkeka huu nimeona majina mengi ya watu waliokwishapata placement hapo nyuma, hopefully baadhi ya nafasi zitatangazwa tena..
Hili la kutoa option ya mtu kupata nafasi sehemu kadhaa alizofanyia usahili, binafsi naona kama usumbufu fulani hivi hata kama ni haki ya mtu kuchaguliwa mara kadhaa halafu yeye achague anapopapenda.

Yaani mtu unawekwa benchi kisa fulani asubiriwe achague anapopapenda ndipo wewe uliyefaulu pia upewe nafasi.

Nashauri iwe mtu akishapata nafasi asiwe na probability ya kuchaguliwa tena kwa nafasi zingine alizofanyia oral ili atoe fursa kwa wengine kuata nafasi moja kwa moja.
 
Ni wazo zuri sjui wao utumishi kwa nn hua wanawardia wtu ambao washapata nafsi sehemu nyingine
 
Yeah watawaita waliokosa nafasi. hivi huyo kwenye avatar ni wewe? Usiogope lakini dada mimi si jobless tena😂😂

Hongereni mliopata hakika mh. Samia anatufurahisha vijana. Lakini mkeka huu nimeona majina mengi ya watu waliokwishapata placement hapo nyuma, hopefully baadhi ya nafasi zitatangazwa tena..
Ahmet kuna jamaa katupiga kuwa ukiwa na selected for null yenye rangi nyekundu ndo umelamba asali wale wa kijani wamekula ndoige je kuna ukweli wowote halo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…