Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nahisi zipo Kikanda Safi.
sasa UTUMISHI wanakibarua cha kusahisha mitihan maana kila mtu lazima ahudhuriiie
IMG_20221210_170935_1.jpg
 
Hivi wakuu vigezo vya kusomea udereva vikoje, na ni vyuo gani na ada ikoje.
Maana naona kama wanakula asali taratibu.

Ili uweze kuwa kwenye soko la ajira kwa taasisi za serikali na binafsi vyuo vinavyopendekezwa ni kama VETA na NIT.

Pia, kwa kigezo cha elimu huwa inakuwa kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
 
Hivi wakuu vigezo vya kusomea udereva vikoje, na ni vyuo gani na ada ikoje.
Maana naona kama wanakula asali taratibu.
Kasome chuo chochote cha veta utapata cheti ila uwaambie kabisa veta leseni utatafuta mwenyewe . Ukishamakiza fatilia leseni kwa kuchakachua uwekewe daraja E, C1, C2, C3 NA D Ila hakikisha una umri wa maika 21+ pia utatoa hela defu kidogo ili kufanikisha hili, vilevile kuna vishoka wengi hakikisha unampata mtu mwaminifu. Ushauri ukishamaliza chuo veta maranyingi uwa wiki 5 au 6, ukimaliza tafuta mtu mwenye gari uwe unafanya mazoezi ya mara kwa mara maana hizo wiki 5 na 6 huwa hazitosh kabisa kuwa dereva mahiri. Ada ya udereva veta ni kati ya laki mbili hadi laki mbili na 60..inayegemea na mkoa..mikoani inaweza kuwa laki mbili tu ila dar laki mbili na 60 au 70 hivi (kwa dar kuna vyuo vya veta viwili kipawa karibu na Airport na changombe hawa wa changombe mafunzo yanafanyikiaga yombo buza. Sifa ni mtu yeyote aliyesoka hata asiyejua kusoma lakini ili upate ajira ya udereva serikalini lazima uwe na elimu ya kidato cha nne hivyo kama huku ajira portal uliweka vyeti vya chuo unatakiwa uvitoe vyote ubakishe cha form 4 na veta tu....jinsi ya kutoa mpaka uwasiliane na ajira portal wavitoe

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
kwa watu wa TRA account zenu zina soma status au received kwa alie ona jina pdf msaada maana mdogowangu status ni received na pdf jina halipo

Mpaka sasa ni received ingawa kwenye pdf jina lipo.

Inaweza kuwa hajatazama vizuri kuna pdf mbili tofauti. Mfano kwa Customs offcer II na Customs assistant II hizi ziko kweny pdf mbili tofauti. Kwa hyo anaweza akawa ame download pdf tofaut na yake.

Kama hakukosea katika utumaji wa barua ya kazi kwa maana ya signature au vyet havikuwa na muhuri wa mwanasheria, anaweza kuwasiliana nao. Kisha watamuweka kwenye majina ya nyongeza.
 
Nahisi zipo Kikanda Safi.
sasa UTUMISHI wanakibarua cha kusahisha mitihan maana kila mtu lazima ahudhuriiieView attachment 2441988
Hizi post dah nawas was sn kutkua na urasimu sana
kwa watu wa TRA account zenu zina soma status au received kwa alie ona jina pdf msaada maana mdogowangu status ni received na pdf jina halipo
Kama jina halipo huyo hajaitwa asbrie aone sababu ya kutoitwa then kama kaonewa afuatilie
 
Kasome chuo chochote cha veta utapata cheti ila uwaambie kabisa veta leseni utatafuta mwenyewe . Ukishamakiza fatilia leseni kwa kuchakachua uwekewe daraja E, C1, C2, C3 NA D Ila hakikisha una umri wa maika 21+ pia utatoa hela defu kidogo ili kufanikisha hili, vilevile kuna vishoka wengi hakikisha unampata mtu mwaminifu. Ushauri ukishamaliza chuo veta maranyingi uwa wiki 5 au 6, ukimaliza tafuta mtu mwenye gari uwe unafanya mazoezi ya mara kwa mara maana hizo wiki 5 na 6 huwa hazitosh kabisa kuwa dereva mahiri. Ada ya udereva veta ni kati ya laki mbili hadi laki mbili na 60..inayegemea na mkoa..mikoani inaweza kuwa laki mbili tu ila dar laki mbili na 60 au 70 hivi (kwa dar kuna vyuo vya veta viwili kipawa karibu na Airport na changombe hawa wa changombe mafunzo yanafanyikiaga yombo buza. Sifa ni mtu yeyote aliyesoka hata asiyejua kusoma lakini ili upate ajira ya udereva serikalini lazima uwe na elimu ya kidato cha nne hivyo kama huku ajira portal uliweka vyeti vya chuo unatakiwa uvitoe vyote ubakishe cha form 4 na veta tu....jinsi ya kutoa mpaka uwasiliane na ajira portal wavitoe

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Shukuran sana Mkuu.

Naiscreenshoot hii reply.
 
Hivi wakuu vigezo vya kusomea udereva vikoje, na ni vyuo gani na ada ikoje.
Maana naona kama wanakula asali taratibu.
Dah kaka umri wako
ila sikukatishi tamaa hakuna vigezo vingi kwa Daresalaam ni kujua kusoma na kuandika kwa watu wa basic driving
Hiyo ndio level ya kwanza kabisa ya UDEREVA brother

Vyuo vya Veta Chang'ombe Ada ni 230,000/= kwa hiyo basic

Ila kama teyar ni dereva labda unataka kusomea psv, truck au VIP hapo angalau sawa.

Hakikisha unakata leseni mwenyewe na cheti cha basic na cha form four muhimu kwenye mrija wa asali wa serikali

Daraja la leseni lenye soko la ajira ni C,C1 na E
 
Hivi wakuu, baada ya kukandwa pale joponi na Interview panel, ukitaka kuondoka si unaweza kuwaaga tu kwa KISWAHILI na utani kidogo.. kwamba Asantenk sana wakuu na maneno matammatam kama hayo ili kupozea maumivu kidogo ya mkando AU Kuna dhambi wakuu kufanya hvyo..?
 
Back
Top Bottom