Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hivi wakuu, baada ya kukandwa pale joponi na Interview panel, ukitaka kuondoka si unaweza kuwaaga tu kwa KISWAHILI na utani kidogo.. kwamba Asantenk sana wakuu na maneno matammatam kama hayo ili kupozea maumivu kidogo ya mkando AU Kuna dhambi wakuu kufanya hvyo..?
usijarb kk utaitiwa walinzi wakupige makofi watu wapo kazin pale
 
Sahihi kabisa kk watu wasikate Tamaa hata sisi wengne kupita kwenda oral tumefanya sahili Zaid ya 2 au Zaid ya 3 ya nne unajikuta unaenda oral , wengine wanatoa na wengne wanabaki..yote kwa yote
Tusikate Tamaa kweny kupambana kwakwel

Asante sana Mkuu, umeongea ukweli.
 
Hapo kwenye kucheza nao siku nzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hahaha. Yani Mkuu wakiwa wameshakukabidhi barua yako ya kupangiwa kazi, unaweza hata kuwaomba ufafanuzi kwamba Mzee Makamba alimaanisha nini aliposema wanaokufa ni watu wabaya na wakigoma kukupa jibu unawaambia huondoki.

Lakini kama hauna barua ya placement mkononi, acha kabisa kuwatania Utumishi, jamaa kwanza na wenyewe wana ndugu zao kibao hawana ajira.
 
Jamani ndugu zangu nimeitwa interview ya TRA naomba msaada wa mtu yoyote mwenye maswali ya ICT officer (developer/programmer) anitumie PM , atakama unamjua mtu aliye wai kufanya interview kwenye kada usika naomba unipatie connection natanguliza shukurani.

Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
 
Writtn hua ni multiple choice 50 na ni language zote,php,java,c++,python,js,angular, jquery soma vyote framework hizo pita vzr
 
Watafute kwa namba zao kuanzia jumatatu utarekebishiwa then utawekwa ktk majina ya nyongeza.

Hizo ni mistakes zao tu wanapofanya vetting. Wengi huwa inawatokea na wanarekebishiwa.

Endelea na kupiga msuli kabisa kwa ni uhakika kama hakuna dosari ktk hilo utaitwa tu.
Hivi kuwatafuta unawapgia simu au unawafuata?
 
Jamani ndugu zangu nimeitwa interview ya TRA naomba msaada wa mtu yoyote mwenye maswali ya ICT officer (developer/programmer) anitumie PM , atakama unamjua mtu aliye wai kufanya interview kwenye kada usika naomba unipatie connection natanguliza shukurani.

Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
Jamani ndugu zangu nimeitwa interview ya TRA naomba msaada wa mtu yoyote mwenye maswali ya ICT officer (developer/programmer) anitumie PM , atakama unamjua mtu aliye wai kufanya interview kwenye kada usika naomba unipatie connection natanguliza shukurani.

Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
Tafuta uzi wenye jina hili

Cracking utumishi written interview: Maalum Kwa Kada za ICT​

Dah kaka umri wako
ila sikukatishi tamaa hakuna vigezo vingi kwa Daresalaam ni kujua kusoma na kuandika kwa watu wa basic driving
Hiyo ndio level ya kwanza kabisa ya UDEREVA brother

Vyuo vya Veta Chang'ombe Ada ni 230,000/= kwa hiyo basic

Ila kama teyar ni dereva labda unataka kusomea psv, truck au VIP hapo angalau sawa.

Hakikisha unakata leseni mwenyewe na cheti cha basic na cha form four muhimu kwenye mrija wa asali wa serikali

Daraja la leseni lenye soko la ajira ni C,C1 na E
Nimeuliza si kwa ajili yangu, mimi hiyo option ilishapita kitambo.
Ni kwa ajili ya wadogo zetu.
Adante kwa ushauri.
 
Back
Top Bottom