Angalia pdfMbna bado received mkuu.
Tayari mkuu, nimeshaona pdf.Angalia pdf
😅😅😅 HatimaeNahisi zipo Kikanda Safi.
sasa UTUMISHI wanakibarua cha kusahisha mitihan maana kila mtu lazima ahudhuriiieView attachment 2441988
Pambana mkuu hadi kielewekeNina motooo nao.. maana sio kwa ile ndoige walio nipigaaa..
nikajihisiiii cfaiii kuwa Academician.
Huu mkeka ulistahili kucheleweshwa, sio kwa nyomi lileTRA mkeka pendwa umeachiwa hewani haya jobless mkapambanie kombe
kwa watu wa TRA account zenu zina soma status au received kwa alie ona jina pdf msaada maana mdogowangu status ni received na pdf jina halipoHuu mkeka ulistahili kucheleweshwa, sio kwa nyomi lile
Aendelee kusubiri status zitasoma muda si mrefu. Kama hajaitwa ataandikiwa sababu.kwa watu wa TRA account zenu zina soma status au received kwa alie ona jina pdf msaada maana mdogowangu status ni received na pdf jina halipo
Kwakua watu ni wengi kwenye akaunt watatuma namba labda kesho au kesho kutwa na kama amekosa kwa pdf wanaeleza why hajawa shortlistedkwa watu wa TRA account zenu zina soma status au received kwa alie ona jina pdf msaada maana mdogowangu status ni received na pdf jina halipo
Hivi wakuu vigezo vya kusomea udereva vikoje, na ni vyuo gani na ada ikoje.
Maana naona kama wanakula asali taratibu.
okKwakua watu ni wengi kwenye akaunt watatuma namba labda kesho au kesho kutwa na kama amekosa kwa pdf wanaeleza why hajawa shortlisted
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kasome chuo chochote cha veta utapata cheti ila uwaambie kabisa veta leseni utatafuta mwenyewe . Ukishamakiza fatilia leseni kwa kuchakachua uwekewe daraja E, C1, C2, C3 NA D Ila hakikisha una umri wa maika 21+ pia utatoa hela defu kidogo ili kufanikisha hili, vilevile kuna vishoka wengi hakikisha unampata mtu mwaminifu. Ushauri ukishamaliza chuo veta maranyingi uwa wiki 5 au 6, ukimaliza tafuta mtu mwenye gari uwe unafanya mazoezi ya mara kwa mara maana hizo wiki 5 na 6 huwa hazitosh kabisa kuwa dereva mahiri. Ada ya udereva veta ni kati ya laki mbili hadi laki mbili na 60..inayegemea na mkoa..mikoani inaweza kuwa laki mbili tu ila dar laki mbili na 60 au 70 hivi (kwa dar kuna vyuo vya veta viwili kipawa karibu na Airport na changombe hawa wa changombe mafunzo yanafanyikiaga yombo buza. Sifa ni mtu yeyote aliyesoka hata asiyejua kusoma lakini ili upate ajira ya udereva serikalini lazima uwe na elimu ya kidato cha nne hivyo kama huku ajira portal uliweka vyeti vya chuo unatakiwa uvitoe vyote ubakishe cha form 4 na veta tu....jinsi ya kutoa mpaka uwasiliane na ajira portal wavitoeHivi wakuu vigezo vya kusomea udereva vikoje, na ni vyuo gani na ada ikoje.
Maana naona kama wanakula asali taratibu.
kwa watu wa TRA account zenu zina soma status au received kwa alie ona jina pdf msaada maana mdogowangu status ni received na pdf jina halipo
Hizi post dah nawas was sn kutkua na urasimu sanaNahisi zipo Kikanda Safi.
sasa UTUMISHI wanakibarua cha kusahisha mitihan maana kila mtu lazima ahudhuriiieView attachment 2441988
Kama jina halipo huyo hajaitwa asbrie aone sababu ya kutoitwa then kama kaonewa afuatiliekwa watu wa TRA account zenu zina soma status au received kwa alie ona jina pdf msaada maana mdogowangu status ni received na pdf jina halipo
Shukuran sana Mkuu.Kasome chuo chochote cha veta utapata cheti ila uwaambie kabisa veta leseni utatafuta mwenyewe . Ukishamakiza fatilia leseni kwa kuchakachua uwekewe daraja E, C1, C2, C3 NA D Ila hakikisha una umri wa maika 21+ pia utatoa hela defu kidogo ili kufanikisha hili, vilevile kuna vishoka wengi hakikisha unampata mtu mwaminifu. Ushauri ukishamaliza chuo veta maranyingi uwa wiki 5 au 6, ukimaliza tafuta mtu mwenye gari uwe unafanya mazoezi ya mara kwa mara maana hizo wiki 5 na 6 huwa hazitosh kabisa kuwa dereva mahiri. Ada ya udereva veta ni kati ya laki mbili hadi laki mbili na 60..inayegemea na mkoa..mikoani inaweza kuwa laki mbili tu ila dar laki mbili na 60 au 70 hivi (kwa dar kuna vyuo vya veta viwili kipawa karibu na Airport na changombe hawa wa changombe mafunzo yanafanyikiaga yombo buza. Sifa ni mtu yeyote aliyesoka hata asiyejua kusoma lakini ili upate ajira ya udereva serikalini lazima uwe na elimu ya kidato cha nne hivyo kama huku ajira portal uliweka vyeti vya chuo unatakiwa uvitoe vyote ubakishe cha form 4 na veta tu....jinsi ya kutoa mpaka uwasiliane na ajira portal wavitoe
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
okAendelee kusubiri status zitasoma muda si mrefu. Kama hajaitwa ataandikiwa sababu.
kwann mkuuHizi post dah nawas was sn kutkua na urasimu sana
Kama jina halipo huyo hajaitwa asbrie aone sababu ya kutoitwa then kama kaonewa afuatilie
Dah kaka umri wakoHivi wakuu vigezo vya kusomea udereva vikoje, na ni vyuo gani na ada ikoje.
Maana naona kama wanakula asali taratibu.