billionea alpha
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,443
- 1,656
Subiria Hadi mwakani maana saivi mwaka ushaisha huu, we si unaona za tra wanafanya written oral wanakutana nayo mwakaniMDAs na LGAs wametusahau.jamani Kwa kada nyinginezo.
Hata mimi naona ,ngoma hii ni mwakani kabisa.Ngoja tupambane na mamishe ya mtaani,wakati tukisubiria mkando ndoige au kuwakanda.Subiria Hadi mwakani maana saivi mwaka ushaisha huu, we si unaona za tra wanafanya written oral wanakutana nayo mwakani
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Next year hiyoHata mimi naona ,ngoma hii ni mwakani kabisa.Ngoja tupambane na mamishe ya mtaani,wakati tukisubiria mkando ndoige au kuwakanda.
Msimu huu Kuna tabu ya usafiri sana,angalia usije ukakosa usaili kama yule jobless mwenzetu alirudia njianiMsaada
Kwa mzoefu wa safari za Arusha-Dom wapi naweza pata private ijumaa kuanzia saa 11 jioni.
Kwa nini awe na mawazo, kwani si kuna placement nyingine alioifanya juzi tu alisema anaisubiria ama.Wizy nazan anamawazo balaaa wakt jambo la kawaida tu kukosa ,zen una move on
Kweli kabisaWalofanya paper za tax management Officer za nyuma watupe maswali basi jmn ...
Tuwe na ideas ata kidogo
Kabisa yaan.Next year hiyo
Kama unaenda Interview fanya upande bus mapema haya mambo ya kusafiri jioni na private car yalishampoza mdau humu ndani. Gari ilipata tatizo na hakukua na other option. Ikiwezekana fanya uwahi mapema tu mkuu.Msaada
Kwa mzoefu wa safari za Arusha-Dom wapi naweza pata private ijumaa kuanzia saa 11 jioni.
Nina sababu zilizo nje ya uwezo wangu.Kama unaenda Interview fanya upande bus mapema haya mambo ya kusafiri jioni na private car yalishampoza mdau humu ndani. Gari ilipata tatizo na hakukua na other option. Ikiwezekana fanya uwahi mapema tu mkuu.
Wapigie tu namba zao hizo, ila iwe ni siku ya kazi.Hivi kuwatafuta unawapgia simu au unawafuata?
Okay broNina sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Mwamba kalala mbele baada ya mkando ndoigeHili jukwaa bila wizzy halitembei
Kwenye CV umeweka hao referee 3?Mimi hio post ya Custom Officer nimeandikiwa kuwa sijawa shortlisted kwa sababu sijaweka Referees watatu, whereas ni kuwa profile yangu ina hao Referees watatu kwa muda mrefu sana.
aje atuambie status inasomaje kwenye web na kwenye appWizy mpka sahizi hajaonekana yupo salama kweli?
Mwamba itakuwa kalamba shamvu kaona ajitenge nasi....ila Wizy unachotufanyia sio poa uwe umekanda au umekanda njoo kundini tuendelee kupenaa moyo. Mie nimekandwa zaidi ya mara 3 oral na bado napambana tu sijakata tamaa sema nafasi nazoingiaga oral utakuta inahitaji mtu 1 so ushindani ni mkubwa lakini siwezi kukata tamaa.....na kwenye usaili wa written kwenda oral ndio nimekula NDOIGE za kufa mtu ila bado sijakata tamaa sasa nina miaka 30+ , kama sijapata kazi Serikali nitaendelea kuomba kazi mpaka nitakapofika miaka 45 ambayo ndio umri wa mwisho serikalini.aje atuambie status inasomaje kwenye web na kwenye app
Kweli kwenye ile cv yako ambayo uliiscan na kuiambatanisha pale kwenye other attachment ina marefarii 3?Kwenye CV umeweka hao referee 3?