Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Subiria Hadi mwakani maana saivi mwaka ushaisha huu, we si unaona za tra wanafanya written oral wanakutana nayo mwakani

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hata mimi naona ,ngoma hii ni mwakani kabisa.Ngoja tupambane na mamishe ya mtaani,wakati tukisubiria mkando ndoige au kuwakanda.
 
aje atuambie status inasomaje kwenye web na kwenye app
Mwamba itakuwa kalamba shamvu kaona ajitenge nasi....ila Wizy unachotufanyia sio poa uwe umekanda au umekanda njoo kundini tuendelee kupenaa moyo. Mie nimekandwa zaidi ya mara 3 oral na bado napambana tu sijakata tamaa sema nafasi nazoingiaga oral utakuta inahitaji mtu 1 so ushindani ni mkubwa lakini siwezi kukata tamaa.....na kwenye usaili wa written kwenda oral ndio nimekula NDOIGE za kufa mtu ila bado sijakata tamaa sasa nina miaka 30+ , kama sijapata kazi Serikali nitaendelea kuomba kazi mpaka nitakapofika miaka 45 ambayo ndio umri wa mwisho serikalini.
 
Back
Top Bottom