Huyo japo alikuwa analia Ila waliona ana some content kichwani.. Ni vizuri kupeana ridhiki namna hii. Naona Sasa Yuko getho kwake anakaanga samaki na broiler [emoji23][emoji23]
Huu mkeka aliyeingia oral hakuachwaNdugu yangu uko sahihi sana. Kuna mdada alitoka kwenye usaili fulani na kurudi nyumbani akila siku nzima kwa makadirio ya haraka iliisha wiki hayuko sawa.
Sababu ni kwamba kuna maneno ya kukatisha tamaa aliambiwa na moja ya wanapannel kwenye Oral, yakamtoa kwenye reli kabisa akawa na kigugumizi kuanzia hapo akiulizwa maswali yanayofuata akawa anajibu kisha anazidiwa na kulia.
Kwa hiyo alivyotoka kwenye mtihani akawa anaumia kwamba tayari amefeli, hata kumpa moyo ni ngumu kwa sababu hoja yake ni atafaulu vipi wakati maswali mengi hajayajibu!
Mkeka ulipotoka jina lake likawepo na kuna baadhi ya waliotoka kwa kujiamini na kuanza kumfariji majina yao hayakuwepo.
Nadhani jamaa wa panel labda waligundua kuna kuna mahala waliteleza kwa hiyo wakaona waangalie namna ya kumfidia kibinadamu.
Ni ule mkeka wa TRA wa mwaka huu uliowapa watu wengi ajira.
Kumbe huruma kama hizi zipo pia[emoji1]basi jamaa wana ubinadamu
Huu mkeka aliyeingia oral hakuachwa
Ila hii jaman acha tu, mimi ile interview ya NAOT acha tu kilichonikuta. Asubuh kwanza nlikuwa nmempanga boda maana ninapokaa ni ndan kidogo, saa 11 nkaamka nkampigia akasema ashaamka anakuja, namaliza kuvaa nimpigie aje simu haiwaki, yaan haioneshi chochote. Nkajipa moyo atakuwa nje, natoka nje simuoni mtu yoyote, nlikaa kwanza nmepigwa na butwaa ishakuwa saa 12 na nusu. Ikabidi nitembeee hadi barabarani na suti yangu, ni mbali kidogo, nkapata boda, nikamwambia anikimbize awezavyo saa 1 kamili niwe Asha Rose Migiro. Boda alikimbia nlikuwa naona kifo hiki, tumefika na dk 5. Nkakuta washaanza kusoma. Nlikuwa na wasiwasi ntasomwa mapema tu halafu nianze kutoa macho. Kwenye ukaguzi sasa, msimamizi akakataa barua yangu ambayo interview zote nmekuwa nkitumia hiyo, akasema eti nmeaddress katibu muhtasi badala ya katibu, nkajitetea kuwa mimi kwa kweli kiswahili sielewi najua permanent Secretary ila kwa kiswahili sijui ni nan, akanambia umesoma mpaka law school hujui maana ya katibu muhtasi, et na boss akiona umemuaddress hivi atafurahishwa. Akanambia rudi ukaandikiwe barua mpya na iwe kutoka Dar. Nkamwambia sio kosa langu barua kaandika mtendaji wa mtaa kunitambulisha sio mimi, na kama ningeshajua ni kosa ningeshabadilisha maana muda wote nmekuwa nikitumia hii. Jaman dada akagoma kabisa. Wenzangu walikuwa wachache tu nane wakakaguliwa wote nikabaki mimi. Akanigomea kabisa. Nlililia, nlilia, yaan nlishindwa jizuia machoz yalikuwa yanaporomoka tu. Akawa ananipita tu. Baadae nkamfata tena akasema labda nikupeleke kwa boss wangu, nikaenda yule mama akaangalia ile barua akacheka, akasema kafanye tu oral mwanangu.Ndugu yangu uko sahihi sana. Kuna mdada alitoka kwenye usaili fulani na kurudi nyumbani akila siku nzima kwa makadirio ya haraka iliisha wiki hayuko sawa.
Sababu ni kwamba kuna maneno ya kukatisha tamaa aliambiwa na moja ya wanapannel kwenye Oral, yakamtoa kwenye reli kabisa akawa na kigugumizi kuanzia hapo akiulizwa maswali yanayofuata akawa anajibu kisha anazidiwa na kulia.
Kwa hiyo alivyotoka kwenye mtihani akawa anaumia kwamba tayari amefeli, hata kumpa moyo ni ngumu kwa sababu hoja yake ni atafaulu vipi wakati maswali mengi hajayajibu!
Mkeka ulipotoka jina lake likawepo na kuna baadhi ya waliotoka kwa kujiamini na kuanza kumfariji majina yao hayakuwepo.
Nadhani jamaa wa panel labda waligundua kuna kuna mahala waliteleza kwa hiyo wakaona waangalie namna ya kumfidia kibinadamu.
Ni ule mkeka wa TRA wa mwaka huu uliowapa watu wengi ajira.
I receive[emoji1431][emoji1431][emoji1431]. Habari za Wizy sina jaman[emoji24]Probability inaonyesha mramba asali anayefuata ni prok......pia prok anajua wizzy alipo nahisi kamficha!!!
Kuna mdada ilikua written wote tumeingia ndani yeye kabakishwa nje anasumbuliwa kuhusu ID na kusimangwa juu amekuja ruhusiwa ndio tunapewa paper ila she was among wale ambao walikua shortlisted kwa Oral. Kwa ule mtihani aliopitia kama haikua muda wake asingetoboa. I believe muda ukifika hata vikwazo viwepo unatoboa.Ila hii jaman acha tu, mimi ile interview ya NAOT acha tu kilichonikuta. Asubuh kwanza nlikuwa nmempanga boda maana ninapokaa ni ndan kidogo, saa 11 nkaamka nkampigia akasema ashaamka anakuja, namaliza kuvaa nimpigie aje simu haiwaki, yaan haioneshi chochote. Nkajipa moyo atakuwa nje, natoka nje simuoni mtu yoyote, nlikaa kwanza nmepigwa na butwaa ishakuwa saa 12 na nusu. Ikabidi nitembeee hadi barabarani na suti yangu, ni mbali kidogo, nkapata boda, nikamwambia anikimbize awezavyo saa 1 kamili niwe Asha Rose Migiro. Boda alikimbia nlikuwa naona kifo hiki, tumefika na dk 5. Nkakuta washaanza kusoma. Nlikuwa na wasiwasi ntasomwa mapema tu halafu nianze kutoa macho. Kwenye ukaguzi sasa, msimamizi akakataa barua yangu ambayo interview zote nmekuwa nkitumia hiyo, akasema eti nmeaddress katibu muhtasi badala ya katibu, nkajitetea kuwa mimi kwa kweli kiswahili sielewi najua permanent Secretary ila kwa kiswahili sijui ni nan, akanambia umesoma mpaka law school hujui maana ya katibu muhtasi, et na boss akiona umemuaddress hivi atafurahishwa. Akanambia rudi ukaandikiwe barua mpya na iwe kutoka Dar. Nkamwambia sio kosa langu barua kaandika mtendaji wa mtaa kunitambulisha sio mimi, na kama ningeshajua ni kosa ningeshabadilisha maana muda wote nmekuwa nikitumia hii. Jaman dada akagoma kabisa. Wenzangu walikuwa wachache tu nane wakakaguliwa wote nikabaki mimi. Akanigomea kabisa. Nlililia, nlilia, yaan nlishindwa jizuia machoz yalikuwa yanaporomoka tu. Akawa ananipita tu. Baadae nkamfata tena akasema labda nikupeleke kwa boss wangu, nikaenda yule mama akaangalia ile barua akacheka, akasema kafanye tu oral mwanangu.
But since hapo nliharibiwa kabisa kisaikolojia. Yaan interview zote uwa nakuja huku kutoa feedback but ya NAOT kama mligundua nlibaki tu kimya. Yaan na maswali nikayaona magumu, acha tu. Ata nlivyorudi nyumbani nlijikuta tu nalia
kuna vidada vingesee sanaaa...kilaaniwe au ndo kile kifupi cheusi hivi??Ila hii jaman acha tu, mimi ile interview ya NAOT acha tu kilichonikuta. Asubuh kwanza nlikuwa nmempanga boda maana ninapokaa ni ndan kidogo, saa 11 nkaamka nkampigia akasema ashaamka anakuja, namaliza kuvaa nimpigie aje simu haiwaki, yaan haioneshi chochote. Nkajipa moyo atakuwa nje, natoka nje simuoni mtu yoyote, nlikaa kwanza nmepigwa na butwaa ishakuwa saa 12 na nusu. Ikabidi nitembeee hadi barabarani na suti yangu, ni mbali kidogo, nkapata boda, nikamwambia anikimbize awezavyo saa 1 kamili niwe Asha Rose Migiro. Boda alikimbia nlikuwa naona kifo hiki, tumefika na dk 5. Nkakuta washaanza kusoma. Nlikuwa na wasiwasi ntasomwa mapema tu halafu nianze kutoa macho. Kwenye ukaguzi sasa, msimamizi akakataa barua yangu ambayo interview zote nmekuwa nkitumia hiyo, akasema eti nmeaddress katibu muhtasi badala ya katibu, nkajitetea kuwa mimi kwa kweli kiswahili sielewi najua permanent Secretary ila kwa kiswahili sijui ni nan, akanambia umesoma mpaka law school hujui maana ya katibu muhtasi, et na boss akiona umemuaddress hivi atafurahishwa. Akanambia rudi ukaandikiwe barua mpya na iwe kutoka Dar. Nkamwambia sio kosa langu barua kaandika mtendaji wa mtaa kunitambulisha sio mimi, na kama ningeshajua ni kosa ningeshabadilisha maana muda wote nmekuwa nikitumia hii. Jaman dada akagoma kabisa. Wenzangu walikuwa wachache tu nane wakakaguliwa wote nikabaki mimi. Akanigomea kabisa. Nlililia, nlilia, yaan nlishindwa jizuia machoz yalikuwa yanaporomoka tu. Akawa ananipita tu. Baadae nkamfata tena akasema labda nikupeleke kwa boss wangu, nikaenda yule mama akaangalia ile barua akacheka, akasema kafanye tu oral mwanangu.
But since hapo nliharibiwa kabisa kisaikolojia. Yaan interview zote uwa nakuja huku kutoa feedback but ya NAOT kama mligundua nlibaki tu kimya. Yaan na maswali nikayaona magumu, acha tu. Ata nlivyorudi nyumbani nlijikuta tu nalia
ulifanya ile NAOT iliyokuwa inataka Legal officers wawili? Nakumbuka written ilikuwa tarehe 27 October. wiki hiyo nilikuwa na oral ya NPS tarehe 24.Ila hii jaman acha tu, mimi ile interview ya NAOT acha tu kilichonikuta. Asubuh kwanza nlikuwa nmempanga boda maana ninapokaa ni ndan kidogo, saa 11 nkaamka nkampigia akasema ashaamka anakuja, namaliza kuvaa nimpigie aje simu haiwaki, yaan haioneshi chochote. Nkajipa moyo atakuwa nje, natoka nje simuoni mtu yoyote, nlikaa kwanza nmepigwa na butwaa ishakuwa saa 12 na nusu. Ikabidi nitembeee hadi barabarani na suti yangu, ni mbali kidogo, nkapata boda, nikamwambia anikimbize awezavyo saa 1 kamili niwe Asha Rose Migiro. Boda alikimbia nlikuwa naona kifo hiki, tumefika na dk 5. Nkakuta washaanza kusoma. Nlikuwa na wasiwasi ntasomwa mapema tu halafu nianze kutoa macho. Kwenye ukaguzi sasa, msimamizi akakataa barua yangu ambayo interview zote nmekuwa nkitumia hiyo, akasema eti nmeaddress katibu muhtasi badala ya katibu, nkajitetea kuwa mimi kwa kweli kiswahili sielewi najua permanent Secretary ila kwa kiswahili sijui ni nan, akanambia umesoma mpaka law school hujui maana ya katibu muhtasi, et na boss akiona umemuaddress hivi atafurahishwa. Akanambia rudi ukaandikiwe barua mpya na iwe kutoka Dar. Nkamwambia sio kosa langu barua kaandika mtendaji wa mtaa kunitambulisha sio mimi, na kama ningeshajua ni kosa ningeshabadilisha maana muda wote nmekuwa nikitumia hii. Jaman dada akagoma kabisa. Wenzangu walikuwa wachache tu nane wakakaguliwa wote nikabaki mimi. Akanigomea kabisa. Nlililia, nlilia, yaan nlishindwa jizuia machoz yalikuwa yanaporomoka tu. Akawa ananipita tu. Baadae nkamfata tena akasema labda nikupeleke kwa boss wangu, nikaenda yule mama akaangalia ile barua akacheka, akasema kafanye tu oral mwanangu.
But since hapo nliharibiwa kabisa kisaikolojia. Yaan interview zote uwa nakuja huku kutoa feedback but ya NAOT kama mligundua nlibaki tu kimya. Yaan na maswali nikayaona magumu, acha tu. Ata nlivyorudi nyumbani nlijikuta tu nalia
Yes ndo hiiulifanya ile NAOT iliyokuwa inataka Legal officers wawili? Nakumbuka written ilikuwa tarehe 27 October. wiki hiyo nilikuwa na oral ya NPS tarehe 24.
Niliona walishortlist oral watu kama 8 hivi. Sikuomba hii.
Kwanza siku tunaenda written, mimi nmezoea kutoka kule home na bado since mitihan uwa ni saa moja, sasa wa Naot ilikuwa saa 6. Nkaona tu ntapanda daladala maana muda upo. Kwanza pale sabasaba hii ndo ilikuwa mwanzo kushuhudia, yaani watu wanajaa hadi wanasimama ndo daladala nyingine inapakia, tukasubirii baadae ndo tukapanga km nusu saa hiv, hapo naona tushachelewa. Basi nlipanda daladala nkaweka mkono nje, daladala nyingine ikapita kabisa pemben ikanibana mkono nlipiga kelele, ikaniachia mstari hadi nyama ya ndan ikaonekana, na ikanichubua ngoz ile nguo ya mikono mirefu nilivaa, aisee, nmefika na maumivu makali, tukasubirishwa tena, tukaja fanya ntihan saa 8 sijui 9. Mkono unaniuma sio poa na hapo nmeuficha kwenye nguo yangu. Yaan sasa hivi nkisikia NAOT moyo unapiga paa, nawaza maswahibu niliyopitia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Namuwaza huyo dada, yaan bora ata mtu anikumbushe MDA na LGAs sio NAOTKuna mdada ilikua written wote tumeingia ndani yeye kabakishwa nje anasumbuliwa kuhusu ID na kusimangwa juu amekuja ruhusiwa ndio tunapewa paper ila she was among wale ambao walikua shortlisted kwa Oral. Kwa ule mtihani aliopitia kama haikua muda wake asingetoboa. I believe muda ukifika hata vikwazo viwepo unatoboa.
Ahaa sawa mkuuKwenye POST hii ya CUSTOMS OFFICER II. Kulikuwa na nafasi 45 . Sifa hata wenye digrii ya LAW ...Nimecheki tangazo hapa nimeona
Sijui ata ni yupi. Nlikuwa na maumivu sana, nkifikiria nmesubiri oral mpaka trh 7 nipo tu Dodoma halafu naambiwa niondoke. Na kosa langu ni very minor na directly sio kosa langu. Kitambaa changu kilijaa machozikuna vidada vingesee sanaaa...kilaaniwe au ndo kile kifupi cheusi hivi??
Nilishawahi ila kuna sababu kadhaa personal zikawa kikwazo. Tumaini pekee ni Gavo tuCheki na NGOs mi niko huku nikitafuta mrija wa asali serikalini
Poa msomi...mimi niliona nijikabidhi kwenye nafasi nyingi zile za state attorneys . Hope utapata hapo NAOT.Yes ndo hii
ni bahati tu mkuu we apply tu kila ikitoka mi niliomba nikakaa kama miezi 9 nikaitwa usahili baada ya usahili walikaa kama miezi 6 ndo nkaitwa kazini na nafasi yenyewe ilikua 1 tu nilichojifunza NGOs usahili wake unahojiwa hadi unasema nimekosa ila mungu tu kaka sina hata connection mkuu we omba tu kila sehemu ukipata unaanza kuomba za serikalini huku uko kazin tatizo la NGOs mkataba ukimaliza unarenewTupe ramani mkuu
Ninyi mnaingia kila sehemu, safi sana.Yes inakubalika, ilikuwa ni course mbalimbali na kwetu sisi ata kama hujaenda law school iliwezekana kuapply