Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Duh! Watu mumepitia mengi sana.

Hahahaha! Mkuu vipi mkeka wa NAOT ukitoka umefanikiwa, utaenda?
Ntaenda tu Mungu akijalia. But kusema ukweli nlishavurugwa tangu mwanzo. Yaan uwa nina kimuhemuhe cha kusubir placement but this one nmerelax kabisa ata sifikirii. Najijua nlivyokuwa that day
 
Alhamdulillaah finally Jobless mzoefu amepata mrija wa asali.

Guys since 2017 napambana na mishe za kuunga unga and finally nimeingia kwenye system inayoeleweka.

Sio rahisi kua Jobless na katika kitu kigumu latika maisha ya mtu ni kukosa kazi maalumu especially kwa mwanaume. Mungu ni wetu sote wakati wa Mungu ni wakati sahihi muda utafika but never give up nishalamba mchanga interview nyingi sana. Mungu ni mwema.
 
Hongera sana mkuu
 
Hongera Sana mwamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…