Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Alhamdulillaah finally Jobless mzoefu amepata mrija wa asali.

Guys since 2017 napambana na mishe za kuunga unga and finally nimeingia kwenye system inayoeleweka.

Sio rahisi kua Jobless na katika kitu kigumu latika maisha ya mtu ni kukosa kazi maalumu especially kwa mwanaume. Mungu ni wetu sote wakati wa Mungu ni wakati sahihi muda utafika but never give up nishalamba mchanga interview nyingi sana. Mungu ni mwema.
Hongera sana mkuu, hiyo ndio riziki yako, ilikuwepo ila ulibakia uipambanie kwa namna mbalimbali ili uifikie.

Umebahatika taasisi gani?
 
Hivi hawa utumishi
Inakuwaje nafasi zilitangazwa 9 lakin placement wanatoa tatu?
Jamaa wanakaza sana dah nafsi 9 wantoa 3 kwa nn hawa jmaa wasiwe pstive kuwasaidia vjna wapte kz?ukizngatia hakuna mtu ambae hawez kifnya hizi kaz as long umesoma mpk chuo hzi interview ni formalities t lakn sio kigezo kwamba ndo unajua au hujui kaz....hawa watu wanatkiwa waache roho ngumu warahisishe maisha vjana wapte kz hii nchi no yetu sote
 
Naenda kushika chaki Mweka ndugu yangu unfortunately wanafunzi wa huku hawachapwi viboko [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaa, huko hakuna kushika chaki mkuu.

Chaki ni sekondari kuja chini.

Hapo ni mwendo wa projector na pointer tu. Tena hamna kutumia nguvu ni maelekezo tu wewe unalala mbele kuandaa CA.

Hongera tena mkuu
 
Back
Top Bottom