baraka mas
Senior Member
- Dec 3, 2022
- 139
- 471
hongera sana kaka wakati umefika mungu akishapanga hakuna wa kupanguaThanks bro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hongera sana kaka wakati umefika mungu akishapanga hakuna wa kupanguaThanks bro
Hua siangalii status kaka. Na sifuatilii status baada ya Oralmrejesho wa status ilikuaje mkuu
tupate mrejesho wa statusMambo ya bwana wizy haya jobless aliekula kona 🤣🤣
Hazina issue hizo status kikubwa pdf jina liwemo bs halipo endlea kupambana maisha yaendle mbeleHua siangalii status kaka. Na sifuatilii status baada ya Oral
Ametudissapoint sana, placement yao hatujapata mrejesho wowote, wizy alikuwa tumaini la mrejesho ila ndio ikawa hivyo, haijulikani kilichomkuta na wengine waliopata mrija huenda hawapo humu.Mambo ya bwana wizy haya jobless aliekula kona [emoji1787][emoji1787]
Nikutakie tu kila la kheri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwamba [emoji23][emoji23][emoji23]
Wizy alikua na ORCI na ADEM nadhani huenda huu mkeka akawemo.Ametudissapoint sana, placement yao hatujapata mrejesho wowote, wizy alikuwa tumaini la mrejesho ila ndio ikawa hivyo, haijulikani kilichomkuta na wengine waliopata mrija huenda hawapo humu.
Huwa tunafarijika sana tukipata mrejesho maana inatupa moyo wa subira na kupambana zaidi.
ADEM alifanya oral post ipi?Wizy alikua na ORCI na ADEM nadhani huenda huu mkeka akawemo.
Maswali ya oral yalikuaje mkuu mweka ukiacha yale ya fani yako husikaWizy alikua na ORCI na ADEM nadhani huenda huu mkeka akawemo.
Hongera Sana mkuu kila la kheri kwenye utumishi wa ummaAlhamdulillaah finally Jobless mzoefu amepata mrija wa asali.
Guys since 2017 napambana na mishe za kuunga unga and finally nimeingia kwenye system inayoeleweka.
Sio rahisi kua Jobless na katika kitu kigumu latika maisha ya mtu ni kukosa kazi maalumu especially kwa mwanaume. Mungu ni wetu sote wakati wa Mungu ni wakati sahihi muda utafika but never give up nishalamba mchanga interview nyingi sana. Mungu ni mwema.
Thanks broHongera Sana mkuu kila la kheri kwenye utumishi wa umma
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Nilikua naona akiitajatajaADEM alifanya oral post ipi?
Swali ambalo nahisi kwako linaweza apply ni kama ni katika Academic post ni kuhusu Importance of research in teaching na Kwa nini wakuchukue wewe na si wengineo. Mengineo yalikua ni specific kwa fani yangu. Labda lile swali la kwanza kuhusu your background pia litakuhusuMaswali ya oral yalikuaje mkuu mweka ukiacha yale ya fani yako husika
Sawa mkuuNilikua naona akiitajataja
Poa mkuu pamojaSwali ambalo nahisi kwako linaweza apply ni kama ni katika Academic post ni kuhusu Importance of research in teaching na Kwa nini wakuchukue wewe na si wengineo. Mengineo yalikua ni specific kwa fani yangu. Labda lile swali la kwanza kuhusu your background pia litakuhusu
Hongera sana kakaAlhamdulillaah finally Jobless mzoefu amepata mrija wa asali.
Guys since 2017 napambana na mishe za kuunga unga and finally nimeingia kwenye system inayoeleweka.
Sio rahisi kua Jobless na katika kitu kigumu latika maisha ya mtu ni kukosa kazi maalumu especially kwa mwanaume. Mungu ni wetu sote wakati wa Mungu ni wakati sahihi muda utafika but never give up nishalamba mchanga interview nyingi sana. Mungu ni mwema.
Asante sana Prok nilitoa ahadi yangu kwako siku nikitoboa nitafika mjinj PM tuyajengeHongera sana kaka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Asante sana Prok nilitoa ahadi yangu kwako siku nikitoboa nitafika mjinj PM tuyajenge
Sio kwa ubaya lakini 😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]