Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Pole kk tuendlee kupambana na kua na subra wakti wetu utafikaMi pia sijabahatika nimekanda.Alhamdulillah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kk tuendlee kupambana na kua na subra wakti wetu utafikaMi pia sijabahatika nimekanda.Alhamdulillah
Ni kweli kabisa,marufuku kukata tamaaPole kk tuendlee kupambana na kua na subra wakti wetu utafika
Hongera sana mkuu, hiyo ndio riziki yako, ilikuwepo ila ulibakia uipambanie kwa namna mbalimbali ili uifikie.Alhamdulillaah finally Jobless mzoefu amepata mrija wa asali.
Guys since 2017 napambana na mishe za kuunga unga and finally nimeingia kwenye system inayoeleweka.
Sio rahisi kua Jobless na katika kitu kigumu latika maisha ya mtu ni kukosa kazi maalumu especially kwa mwanaume. Mungu ni wetu sote wakati wa Mungu ni wakati sahihi muda utafika but never give up nishalamba mchanga interview nyingi sana. Mungu ni mwema.
Jamaa wanakaza sana dah nafsi 9 wantoa 3 kwa nn hawa jmaa wasiwe pstive kuwasaidia vjna wapte kz?ukizngatia hakuna mtu ambae hawez kifnya hizi kaz as long umesoma mpk chuo hzi interview ni formalities t lakn sio kigezo kwamba ndo unajua au hujui kaz....hawa watu wanatkiwa waache roho ngumu warahisishe maisha vjana wapte kz hii nchi no yetu soteHivi hawa utumishi
Inakuwaje nafasi zilitangazwa 9 lakin placement wanatoa tatu?
Wengine walikandwa, hizo nafasi zitajazwa ama kutoka data base au kutangazwa tenaHivi hawa utumishi
Inakuwaje nafasi zilitangazwa 9 lakin placement wanatoa tatu?
Kbsa kk ngoj tujarbu TRA tuone alilolipanga muumbaNi kweli kabisa,marufuku kukata tamaa
Subira, maombi, mapambano viendeleeMi pia sijabahatika nimekanda.Alhamdulillah
Naenda kushika chaki chuo ndugu yangu unfortunately wanafunzi wa huku hawachapwi viboko 😂😂😂Hongera sana mkuu, hiyo ndio riziki yako, ilikuwepo ila ulibakia uipambanie kwa namna mbalimbali ili uifikie.
Umebahatika taasisi gani?
Hongera mkuu you are now academician...wewe na kusoma sasa mnatakiwa muwe ndugu wa karibu san🤣🤣Naenda kushika chaki Mweka ndugu yangu unfortunately wanafunzi wa huku hawachapwi viboko 😂😂😂
Ameen!kabisa mkuuSubira, maombi, mapambano viendelee
Thanks broHongera mkuu you are now academician...wewe na kusoma sasa mnatakiwa muwe ndugu wa karibu san🤣🤣
Safi sana,nenda ukapambane bossNaenda kushika chaki Mweka ndugu yangu unfortunately wanafunzi wa huku hawachapwi viboko 😂😂😂
Hahahahaa, huko hakuna kushika chaki mkuu.Naenda kushika chaki Mweka ndugu yangu unfortunately wanafunzi wa huku hawachapwi viboko [emoji23][emoji23][emoji23]
.wewe na kusoma sasa mnatakiwa muwe ndugu wa karibu san[emoji1787][emoji1787]
mrejesho wa status ilikuaje mkuuThanks bro
Asante ChiefSafi sana,nenda ukapambane boss
Halafu hiyo VIBOKO imekaa kitaalamu sana[emoji3][emoji3][emoji3]Naenda kushika chaki Mweka ndugu yangu unfortunately wanafunzi wa huku hawachapwi viboko [emoji23][emoji23][emoji23]
AsanteSafi sana,nenda ukapambane boss
Asante mkongwe mwenzanguHahahahaa, huko hakuna kushika chaki mkuu.
Chaki ni sekondari kuja chini.
Hapo ni mwendo wa projector na pointer tu. Tena hamna kutumia nguvu ni maelekezo tu wewe unalala mbele kuandaa CA.
Hongera tena mkuu
Mambo ya bwana wizy haya jobless aliekula kona 🤣🤣mrejesho wa status ilikuaje mkuu
Kwamba 😂😂😂Halafu hiyo VIBOKO imekaa kitaalamu sana[emoji3][emoji3][emoji3]