Amiin mkuu ikawe hivyo maana dah hali sio poaNaamini utakuwa kanzidata,utaitwa tu mkuu
Abeche nawe ulikuwa unasubiria ya Adem?Amiin mkuu ikawe hivyo maana dah hali sio poa
Hiyo haina shida mkuu.Sijakuelewa hapa kaka. Mie cheti cha form 4, form 6 na chuo vyote ni majina mawili tu hakuna initial wala nini katikati yaani linasomeka JANUARY YUSUPH. Ila Nida na cheti cha kuzaliwa majina matatu yaani JANUARY YUSUPH MAKAMBA. lakini sijawai zuiwa hata mara moja iwe oral au written
Kiukweli bila kutia neno ntakuwa muongo..Mimi nipo humu MDA mrefu ila sio mtu wa kuchati sana ila huwa nasoma comment..Namshukuru Mungu Leo na Mimi nimepata kazi wakuu...
Kiukweli kuhusu status ni hivini mefanya oral Saba toka 2020 ambapo katika oral Saba mbili ndio nilikuwa nasubiria majibu ambapo katika app ndio inasema kweli ziliandika selected for null green.
katika oral za nyuma niliingia database zinasema selected for practical and selected for oral na nilizopigwa za kichwa oral mbili zinaandika red not selected for null..ni hayo TU wadau tusife moyo hakuna juhudi zisizokuwa na matokeo
Ulifanya Oral 7 vp unasema ukisubiria majibu kwa Oral 2.. hzo nyingine 5hukupaswa kusubiria majibu Hali ya kuwa ulifanya.Kiukweli bila kutia neno ntakuwa muongo..Mimi nipo humu MDA mrefu ila sio mtu wa kuchati sana ila huwa nasoma comment..Namshukuru Mungu Leo na Mimi nimepata kazi wakuu...
Kiukweli kuhusu status ni hivini mefanya oral Saba toka 2020 ambapo katika oral Saba mbili ndio nilikuwa nasubiria majibu ambapo katika app ndio inasema kweli ziliandika selected for null green.
katika oral za nyuma niliingia database zinasema selected for practical and selected for oral na nilizopigwa za kichwa oral mbili zinaandika red not selected for null..ni hayo TU wadau tusife moyo hakuna juhudi zisizokuwa na matokeo
Hizo Saba sio kwa pamoja Mzee nimepiga sana tripu...ila Kwa hizi zilizotoka niliomba mbili so nlikuwa nasubiri two position placement...ila hizo zingine nibza nyumaUlifanya Oral 7 vp unasema ukisubiria majibu kwa Oral 2.. hzo nyingine 5hukupaswa kusubiria majibu Hali ya kuwa ulifanya.
Hizi Oral za nyuma ulizoingia Database ulijuaje uliingia database au kazi uliyopata ndo hzo database..?
Tano ni za mida na kada tofauti mwaka juzi na Jana nkawa narnda...mwanzoni nilikuwa naenda nafanya written nakandwa..nkaanza kuchukulia Hawa jamaa serious Kwa kusoma kila sikubna kila nkienda katika intavyuu nakua na washikaji so nimejua vitu vingi na kukutana na wadau kibao so ikafika kipindi mpaka maswali ya utumishi nikawa siyaogopi..Hizo Saba sio kwa pamoja Mzee nimepiga sana tripu...ila Kwa hizi zilizotoka niliomba mbili so nlikuwa nasubiri two position placement...ila hizo zingine nibza nyuma
Wewe ni kada gani kakaTano ni za mida na kada tofauti mwaka juzi na Jana nkawa narnda...mwanzoni nilikuwa naenda nafanya written nakandwa..nkaanza kuchukulia Hawa jamaa serious Kwa kusoma kila sikubna kila nkienda katika intavyuu nakua na washikaji so nimejua vitu vingi na kukutana na wadau kibao so ikafika kipindi mpaka maswali ya utumishi nikawa siyaogopi..
Kwahyo umekula shavu huu mkeka wa Jana nani Taasisi ipi mkuu..?Tano ni za mida na kada tofauti mwaka juzi na Jana nkawa narnda...mwanzoni nilikuwa naenda nafanya written nakandwa..nkaanza kuchukulia Hawa jamaa serious Kwa kusoma kila sikubna kila nkienda katika intavyuu nakua na washikaji so nimejua vitu vingi na kukutana na wadau kibao so ikafika kipindi mpaka maswali ya utumishi nikawa siyaogopi..
Siwezi kutaja KADA kaka..ila jua tu hawa jamaa unatakiwa usome sana kusu professional ya taasisi husika sio kishuleshule..ukiona taasisi flani basi ni bora ukaanza kuifanyia research inadeal na Nini na ikibidi kutafuta watu wanaofanya kazi hapo LinkedIn na fb then unadadisi contents zao nazani ni vyema.Wewe ni kada gani kaka
Kumbe ukitaja kada unaweza kujulikana humu mkuu..Siwezi kutaja KADA kaka..ila jua tu hawa jamaa unatakiwa usome sana kusu professional ya taasisi husika sio kishuleshule..ukiona taasisi flani basi ni bora ukaanza kuifanyia research inadeal na Nini na ikibidi kutafuta watu wanaofanya kazi hapo LinkedIn na fb then unadadisi contents zao nazani ni vyema.
Utunze taarifa zako coz humu kuna watu wengi na huwezi jua nani ni nani🤣Kumbe ukitaja kada unaweza kujulikana humu mkuu..
Me nilikuwa sijui
Haya Mzee wa privacyLazima
Utunze taarifa zako coz humu kuna watu wengi na huwezi jua nani ni nani🤣
Placement zipo nyingi kuna nyingine za data base zinatengenezwa utazichoka mkuuNaona placements za Mwezi September/October zimeisha, Sasa zinakuja za Mwezi November zikimalizia na Desember
Waachie t mzigo wa database tujue yaliyomo yamoooPlacement zipo nyingi kuna nyingine za data base zinatengenezwa utazichoka mkuu
Ukilipata nishtue na mim mzeeMwenye group la ict ,tusaidiane
Zipo nyingi chances zinakujaaa waliopo database mikono juuuWaachie t mzigo wa database tujue yaliyomo yamooo
Et hiyo kazi uliokosa kwenye app uliandikiwaje[emoji3060]🥱Ukilipata nishtue na mim mzee