Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Selected for null greenEt hiyo kazi uliokosa kwenye app uliandikiwaje[emoji3060]🥱
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Selected for null greenEt hiyo kazi uliokosa kwenye app uliandikiwaje[emoji3060]🥱
Duuuh, mambo ya app siyaelewi kwa kweli[emoji23]. Ngoja nitulie. Imagine nmemuuliza my friend hizi interview tulizofanya juzi naot na mda ye kaandikiwa selected for null, na mimi nmeandikiwa not selected for null zote mbili except ya land officer, akanambia hizi za juzi umekosa Mungu wangu, na hiyo ya Land ulipata ila hukuona jina na barua hukwenda kuchukua wakapewa watu wengine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nmeamua tu nicheke. Tangu leo sifatilii status. Sio kwa nlivyovunjwa moyo na rafiki yangu. Ila kwa oral zile lolote litakalotokea ni heriSelected for null green
Mbna ni kama hyo SELECTED FOR null (green) kila aliepiga oral ameandikiwa hvyo?.Sorry nilimaanisha "Selected for null"
Ebu eleza vizuri dada.Duuuh, mambo ya app siyaelewi kwa kweli[emoji23]. Ngoja nitulie. Imagine nmemuuliza my friend hizi interview tulizofanya juzi naot na mda ye kaandikiwa selected for null, na mimi nmeandikiwa not selected for null zote mbili except ya land officer, akanambia hizi za juzi umekosa Mungu wangu, na hiyo ya Land ulipata ila hukuona jina na barua hukwenda kuchukua wakapewa watu wengine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nmeamua tu nicheke. Tangu leo sifatilii status. Sio kwa nlivyovunjwa moyo na rafiki yangu. Ila kwa oral zile lolote litakalotokea ni heri
Ss hukuenda kuchukua barua kivipi na plecement haijatokaDuuuh, mambo ya app siyaelewi kwa kweli[emoji23]. Ngoja nitulie. Imagine nmemuuliza my friend hizi interview tulizofanya juzi naot na mda ye kaandikiwa selected for null, na mimi nmeandikiwa not selected for null zote mbili except ya land officer, akanambia hizi za juzi umekosa Mungu wangu, na hiyo ya Land ulipata ila hukuona jina na barua hukwenda kuchukua wakapewa watu wengine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nmeamua tu nicheke. Tangu leo sifatilii status. Sio kwa nlivyovunjwa moyo na rafiki yangu. Ila kwa oral zile lolote litakalotokea ni heri
Status achana nazo zitakuumiza kichwa bure, we jiandae na saili nyingine kama unazo.Duuuh, mambo ya app siyaelewi kwa kweli[emoji23]. Ngoja nitulie. Imagine nmemuuliza my friend hizi interview tulizofanya juzi naot na mda ye kaandikiwa selected for null, na mimi nmeandikiwa not selected for null zote mbili except ya land officer, akanambia hizi za juzi umekosa Mungu wangu, na hiyo ya Land ulipata ila hukuona jina na barua hukwenda kuchukua wakapewa watu wengine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nmeamua tu nicheke. Tangu leo sifatilii status. Sio kwa nlivyovunjwa moyo na rafiki yangu. Ila kwa oral zile lolote litakalotokea ni heri
Huyo ni mwenzangu tu tulifanya wote oral. Ndo kaona anijibu hivyo. Hiyo Land Officer ata placement hazijawahi tokaEbu eleza vizuri dada.
Yani amekwambia NAOT na MDA umekosa (mana status iko NOT SELECTED) lakini ya LAND OFFICER umepata mana STATUS inasoma SELECTED FOR NULL,
Na hukwenda kuchukua barua ya post gani tena.
Au sio wewe ni yeye???
Sijawahi fatilia, ni vile tu leo kuna mtu kaniomba niinstall app ndo nkakutana na maajabu hayo[emoji23]Status achana nazo zitakuumiza kichwa bure, we jiandae na saili nyingine kama unazo.
Msema kwel ni pdf tu, Humu kuna watu wamepata kazi wameandikiwa SELECTED FOR null, na wengine pia wamekosa na ajabu wameandikiwa hivyo hivyo.
Sasa hiyo hbr ya kutokuchukua barua kaitoa wapHuyo ni mwenzangu tu tulifanya wote oral. Ndo kaona anijibu hivyo. Hiyo Land Officer ata placement hazijawahi toka
Nakazia hapa ,ikiwa placement haijatoka kajuaje??Sasa hiyo hbr ya kutokuchukua barua kaitoa wap
Sio kila mtu kaandikiwa selected for null ila pengine post inataka mtu 1 halafu mumepita 5 nahisi ndo inaandika selected for null halafu wanamchagua mmoja pengine unakua kanzidata mawazo yanguMbna ni kama hyo SELECTED FOR null (green) kila aliepiga oral ameandikiwa hvyo?.
Kuna mdau humu nafikiri ni abeche amesema amepigwa chini na status ipo hvyo.
Hizi status ni kuachana nazo tu, zitakuumiza kichwa waego.
Nafuatilia kwamakini majibu ya hiliNakazia hapa ,ikiwa placement haijatoka kajuaje??
Hata simu hukupigiwa??
Tujuzane labda kuna means zingine za kupewa taarifa.
No sikupigiwa na placement hazijawahi toka. Na kuhusu hiyo interview nlishagakubaliana na hali. Inshort no time for losing hope[emoji23]. Nitulie nijisomee TRANakazia hapa ,ikiwa placement haijatoka kajuaje??
Hata simu hukupigiwa??
Tujuzane labda kuna means zingine za kupewa taarifa.
Ni sahihi hujanielewa. Ila maelezo yako ni sahihi hata mimi vyeti vya shule, chuo, usajili vyote vina majina 2 ila cha kuzaliwa na NIDA ni majina 3. Na sijawahi kusumbuliwa popote.Sijakuelewa hapa kaka. Mie cheti cha form 4, form 6 na chuo vyote ni majina mawili tu hakuna initial wala nini katikati yaani linasomeka JANUARY YUSUPH. Ila Nida na cheti cha kuzaliwa majina matatu yaani JANUARY YUSUPH MAKAMBA. lakini sijawai zuiwa hata mara moja iwe oral au written
Dada unanikatisha tamaa aisee.sasa kama simu + tangazo hamna tutaishije..No sikupigiwa na placement hazijawahi toka. Na kuhusu hiyo interview nlishagakubaliana na hali. Inshort no time for losing hope[emoji23]. Nitulie nijisomee TRA
Prok kalishwa matango pori mzeeDada unanikatisha tamaa aisee.sasa kama simu + tangazo hamna tutaishije..
Mimi nina SELECTED FOR NULL zangu mbili nazisikilizia sasa kama zaweza kuja bila taarifa bora nimkumbatie mkaburu tu.
Au ndo za KAMLETE???
Ndo maana nimecheka tuProk kalishwa matango pori mzee
Hapo kwenye jina mzazi ndipo penye kigingi.Niliwahi ona case humu nahofia tarehe 17 wakanizingua na mimi
Jina cheti 4 na 6 liwe labda Punje Haradari
Jina la kitambulisho cha mpiga kura na kwenye address zote za utumishi liwe Punje Haradari Mkandwaji
Kwenye cheti cha kuzaliwa Punje Haradari
Na kwenye majina ya mzazi kwenye cheti cha kuzaliwa ni Haradari Uredi ( Mkandwaji halipo)