Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sijakuelewa hapa kaka. Mie cheti cha form 4, form 6 na chuo vyote ni majina mawili tu hakuna initial wala nini katikati yaani linasomeka JANUARY YUSUPH. Ila Nida na cheti cha kuzaliwa majina matatu yaani JANUARY YUSUPH MAKAMBA. lakini sijawai zuiwa hata mara moja iwe oral au written
Hiyo haina shida mkuu.
 
Kiukweli bila kutia neno ntakuwa muongo..Mimi nipo humu MDA mrefu ila sio mtu wa kuchati sana ila huwa nasoma comment..Namshukuru Mungu Leo na Mimi nimepata kazi wakuu...
Kiukweli kuhusu status ni hivini mefanya oral Saba toka 2020 ambapo katika oral Saba mbili ndio nilikuwa nasubiria majibu ambapo katika app ndio inasema kweli ziliandika selected for null green.

katika oral za nyuma niliingia database zinasema selected for practical and selected for oral na nilizopigwa za kichwa oral mbili zinaandika red not selected for null..ni hayo TU wadau tusife moyo hakuna juhudi zisizokuwa na matokeo

Hongera sana kaka, na ukawe mtumishi mwenye maadili na mtenda haki.

Kweli ww msoma comments😄😄😄
Mzee wa kimyakimya kumbe una jambo lako.
 
Kiukweli bila kutia neno ntakuwa muongo..Mimi nipo humu MDA mrefu ila sio mtu wa kuchati sana ila huwa nasoma comment..Namshukuru Mungu Leo na Mimi nimepata kazi wakuu...
Kiukweli kuhusu status ni hivini mefanya oral Saba toka 2020 ambapo katika oral Saba mbili ndio nilikuwa nasubiria majibu ambapo katika app ndio inasema kweli ziliandika selected for null green.

katika oral za nyuma niliingia database zinasema selected for practical and selected for oral na nilizopigwa za kichwa oral mbili zinaandika red not selected for null..ni hayo TU wadau tusife moyo hakuna juhudi zisizokuwa na matokeo
Ulifanya Oral 7 vp unasema ukisubiria majibu kwa Oral 2.. hzo nyingine 5hukupaswa kusubiria majibu Hali ya kuwa ulifanya.
Hizi Oral za nyuma ulizoingia Database ulijuaje uliingia database au kazi uliyopata ndo hzo database..?
 
Hizo Saba sio kwa pamoja Mzee nimepiga sana tripu...ila Kwa hizi zilizotoka niliomba mbili so nlikuwa nasubiri two position placement...ila hizo zingine nibza nyuma
 
Tano ni za mida na kada tofauti mwaka juzi na Jana nkawa narnda...mwanzoni nilikuwa naenda nafanya written nakandwa..nkaanza kuchukulia Hawa jamaa serious Kwa kusoma kila sikubna kila nkienda katika intavyuu nakua na washikaji so nimejua vitu vingi na kukutana na wadau kibao so ikafika kipindi mpaka maswali ya utumishi nikawa siyaogopi..
 
Wewe ni kada gani kaka
 
Kwahyo umekula shavu huu mkeka wa Jana nani Taasisi ipi mkuu..?
 
Wewe ni kada gani kaka
Siwezi kutaja KADA kaka..ila jua tu hawa jamaa unatakiwa usome sana kusu professional ya taasisi husika sio kishuleshule..ukiona taasisi flani basi ni bora ukaanza kuifanyia research inadeal na Nini na ikibidi kutafuta watu wanaofanya kazi hapo LinkedIn na fb then unadadisi contents zao nazani ni vyema.
 
Kumbe ukitaja kada unaweza kujulikana humu mkuu..
Me nilikuwa sijui
 
Back
Top Bottom