Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Selected for null green
Duuuh, mambo ya app siyaelewi kwa kweli[emoji23]. Ngoja nitulie. Imagine nmemuuliza my friend hizi interview tulizofanya juzi naot na mda ye kaandikiwa selected for null, na mimi nmeandikiwa not selected for null zote mbili except ya land officer, akanambia hizi za juzi umekosa Mungu wangu, na hiyo ya Land ulipata ila hukuona jina na barua hukwenda kuchukua wakapewa watu wengine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nmeamua tu nicheke. Tangu leo sifatilii status. Sio kwa nlivyovunjwa moyo na rafiki yangu. Ila kwa oral zile lolote litakalotokea ni heri
 
Ebu eleza vizuri dada.

Yani amekwambia NAOT na MDA umekosa (mana status iko NOT SELECTED) lakini ya LAND OFFICER umepata mana STATUS inasoma SELECTED FOR NULL,

Na hukwenda kuchukua barua ya post gani tena.

Au sio wewe ni yeye???
 
Ss hukuenda kuchukua barua kivipi na plecement haijatoka
 
Status achana nazo zitakuumiza kichwa bure, we jiandae na saili nyingine kama unazo.

Msema kwel ni pdf tu, Humu kuna watu wamepata kazi wameandikiwa SELECTED FOR null, na wengine pia wamekosa na ajabu wameandikiwa hivyo hivyo.
 
Ebu eleza vizuri dada.

Yani amekwambia NAOT na MDA umekosa (mana status iko NOT SELECTED) lakini ya LAND OFFICER umepata mana STATUS inasoma SELECTED FOR NULL,

Na hukwenda kuchukua barua ya post gani tena.

Au sio wewe ni yeye???
Huyo ni mwenzangu tu tulifanya wote oral. Ndo kaona anijibu hivyo. Hiyo Land Officer ata placement hazijawahi toka
 
Status achana nazo zitakuumiza kichwa bure, we jiandae na saili nyingine kama unazo.

Msema kwel ni pdf tu, Humu kuna watu wamepata kazi wameandikiwa SELECTED FOR null, na wengine pia wamekosa na ajabu wameandikiwa hivyo hivyo.
Sijawahi fatilia, ni vile tu leo kuna mtu kaniomba niinstall app ndo nkakutana na maajabu hayo[emoji23]
 
Mbna ni kama hyo SELECTED FOR null (green) kila aliepiga oral ameandikiwa hvyo?.

Kuna mdau humu nafikiri ni abeche amesema amepigwa chini na status ipo hvyo.

Hizi status ni kuachana nazo tu, zitakuumiza kichwa waego.
Sio kila mtu kaandikiwa selected for null ila pengine post inataka mtu 1 halafu mumepita 5 nahisi ndo inaandika selected for null halafu wanamchagua mmoja pengine unakua kanzidata mawazo yangu
 
Ni sahihi hujanielewa. Ila maelezo yako ni sahihi hata mimi vyeti vya shule, chuo, usajili vyote vina majina 2 ila cha kuzaliwa na NIDA ni majina 3. Na sijawahi kusumbuliwa popote.

Sasa maelezo yangu yalikuwa hivi nilipokuwa namhoji huyo jamaa:

Yeye amedai kuwa cheti cha chuo kinasomeka hivi: SAMIA SULUHU HANGAYA. Ambapo ni sawa na NIDA na kuzaliwa.

Halafu vyeti vya shule(form 4 na 6) vinasomeka hivi: SAMIA S HANGAYA, je umeona utofauti?

Sasa mimi nikahoji hivi:

Ukiwa unafanyiwa Admission chuo huwa wanatumia vyeti vya shule form 4 na 6(hapa mara nyingi wanatumia namba ya mtihani maana vyeti vinakuwa bado havijakamilika), kwa mantiki hiyo jina kwenye cheti cha chuo lazima lifanane na la kwenye vyeti vya shule(form 4 na 6).

Sasa huyo jamaa, vyeti vya shule na chuo vina utofauti wa majina kama nilivyotolea mfano hapo juu.

Ndio nikahoji kuwa, ilikuwaje chuo watumie jina la NIDA na kuzaliwa badala la kwenye vyeti vya shule ambapo taarifa zake zipo NECTA maana ukisearch namba ya mtihani inakuletea jina kamili.

Sijui umenielewa?
 
No sikupigiwa na placement hazijawahi toka. Na kuhusu hiyo interview nlishagakubaliana na hali. Inshort no time for losing hope[emoji23]. Nitulie nijisomee TRA
Dada unanikatisha tamaa aisee.sasa kama simu + tangazo hamna tutaishije..

Mimi nina SELECTED FOR NULL zangu mbili nazisikilizia sasa kama zaweza kuja bila taarifa bora nimkumbatie mkaburu tu.

Au ndo za KAMLETE???
 
Hapo kwenye jina mzazi ndipo penye kigingi.

Haradati Mkandwaji na Haradati Uredi ni watu 2 tofauti.

Tafuta kiapo cha kuelezea huo utofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…