Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Dada unanikatisha tamaa aisee.sasa kama simu + tangazo hamna tutaishije..

Mimi nina SELECTED FOR NULL zangu mbili nazisikilizia sasa kama zaweza kuja bila taarifa bora nimkumbatie mkaburu tu.

Au ndo za KAMLETE???
Hapo jua umefaulu usaili ...ila itategemea mliofanya usaili mpo wa ngapi na wewe katika hiyo idadi ni wangapi.. kama mmefanya 10 na wao wanataka watu 5 na wewe ukawa kati ya namba 1 hadi namba 5 basi utatokea kwa pdf ila kama upo kati ya namba 6 mpaka 10 subiri database.... Hivyo mpaka sasa una asilimia 85 za kuingia kwenye payroll ya gvt
 
Labda vyuo navyo vinaandika hayo majina kwa maamuzi yao.

Muhas cheti changu kina majina 2 ambayo ndio yapo kwenye vyeti vya shule.

Wakati nafanyiwa admission nilipeleka cheti cha kuzaliwa kama kawaida ila hawakuongeza jina la ukoo lililopo kwenye cheti cha kuzaliwa, walifuata majina ya kwenye vyeti vya shule.

Hadi sasa natumia majina 2, la tatu huwa naliongeza likihitajika kama nilipokuwa nasajiliwa NIDA na kufungua akaunti Bank.
 
Ndo uzuri wa watanzania.tunapeana sana moyo hadi raha.

Mzee status hazina maana tuendelee kupambana na vibarua.
 
Basi itakua chuo na chuo mimi nimesoma Udsm na wengi wa UD naona vyeti vimewekwa majina matatu despite ya vyeti vya olevel na Alevel kuwa na majina mawili na initial kati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila in my advice unapoteza muda kupumzika mwaka....ila kama umeamua hvyo sawa, naheshimu mawazo yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwamba..
Nakotoka hadi dodoma garama yake si mchezo.na sijawahi subiria results za written. Nafanya narudi results zinanikuta nishafika.so just imagine nenda rudi dodoma kama mara nne hivi.

So wacha nivute pumzi ya mkwanja na akili
 
Nimekusoma kaka MWIFWA....bila shaka wewe ni muhenga mwenzangu [emoji3][emoji3][emoji3] maana enzi zetu walimu walikuwa wanapenda kutumia majina mawili tu ila siku hizi NECTA hawakubali majina mawili ni lazima matatu full au la kati liwe na initial.
Ndio hivyo mkuu, Darasa letu la Olevel 99% tulizumia majina 2 ambapo yalianzia form 2, tulipofika form 4 tuliambiwa majina ya form ndio yatatumika kusajiliwa.

Kuna baadhi ya watu walikosea herufi 1 kwenye jina enzi za form 2 na walishindwa kurekebisha pindi tunasajiliwa form 4, hadi sasa majina yao yamebaki na kasoro ile ambayo ndio ishakuwa uhalali wa majina yao hadi sasa.

Kipindi hicho naona kila shule ilikuwa na maamuzi yake kwenye kuandika majina ya wanafunzi wake, shule zingine zilitumia majina 3 full, zingine zilitumia 3 la katikati likiwa initial, zingine zilitumia majina 2 kama shule yetu.
 
Natamani hzi ishu za status aje ict wa utumishi mwenyewe kbsa amalize utata
 
hahahaa acha kunipa moyo basi
 
Pole mkuu,ni palepale Asha Rose Migiro? Halafu hapana miundombinu mizuri ya kula.Inatakiwa ifunguliwe cafe nzuri na classic na chakula kiwe affordable. Watu wanashinda njaa sn sn pale Asha Rose Migiro.
aisee mimi niliteseka na njaa hadi nguvu zikaisha,kwenda kula chakula kibovu mno alafu elfu 4,kikanishinda kula,kumi na moja na nusu ndo naingia kwenye mahojiano nimechoka na kulegea kwa njaa narembua tu hahahaa
 
Waooh hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…