Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kama ipo serious sana inakuharibia focus...bora ukaonane na phycologist.... I hope ww n Muslim usisahau kusoma Qur'an na adhkar
 
Kaka me nataka kuoa kabisa yaani
Itakuwa jambo jema sana, unasitirika.

Wengine tushajilipua kitambo maana umri nao unakimbia, tunakimbiza vyote kwa pamoja.

January mwishoni kijana wangu anatimiza mwaka 1, umri wa vidudu ndio huo unapisha hodi huku bado giza la mrija limetanda, Mungu atie wepesi aisee angalau aje apate nauli ya gari la njano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…