Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna hali inanitesa sana, hasa kwenye situation kama hii ya kusubiri kitu muhimu. Kuna bad thoughts Huwa zinakuja kichwani kwangu. Nahisi kama taarifa zangu zitapotea, au labda kuna taarifa zimekosewa kujazwa.

Katika psychology hii disorder inaitwa OCD. Najaribu kujitoa katika mawazo hayo lakini bado hayo mawazo huja kichwani.

Basi nateseka sanaa😒
Kama ipo serious sana inakuharibia focus...bora ukaonane na phycologist.... I hope ww n Muslim usisahau kusoma Qur'an na adhkar
 
Kaka me nataka kuoa kabisa yaani
Itakuwa jambo jema sana, unasitirika.

Wengine tushajilipua kitambo maana umri nao unakimbia, tunakimbiza vyote kwa pamoja.

January mwishoni kijana wangu anatimiza mwaka 1, umri wa vidudu ndio huo unapisha hodi huku bado giza la mrija limetanda, Mungu atie wepesi aisee angalau aje apate nauli ya gari la njano
 
Back
Top Bottom