Sonam96
Member
- Jan 29, 2019
- 45
- 155
Kama ipo serious sana inakuharibia focus...bora ukaonane na phycologist.... I hope ww n Muslim usisahau kusoma Qur'an na adhkarKuna hali inanitesa sana, hasa kwenye situation kama hii ya kusubiri kitu muhimu. Kuna bad thoughts Huwa zinakuja kichwani kwangu. Nahisi kama taarifa zangu zitapotea, au labda kuna taarifa zimekosewa kujazwa.
Katika psychology hii disorder inaitwa OCD. Najaribu kujitoa katika mawazo hayo lakini bado hayo mawazo huja kichwani.
Basi nateseka sanaa😒