Safi sana na mimi nijipange kwa ndoaItakuwa jambo jema sana, unasitirika.
Wengine tushajilipua kitambo maana umri nao unakimbia, tunakimbiza vyote kwa pamoja.
January mwishoni kijana wangu anatimiza mwaka 1, umri wa vidudu ndio huo unapisha hodi huku bado giza la mrija limetanda, Mungu atie wepesi aisee angalau aje apate nauli ya gari la njano
Ndo majukumu ya kazi hayo, kwasababu unatoaje barua ya placement kwa mtu ambae hajafanyiwa vetting?Ww unavyoona ni Rahisi kufanyia Vetting watu 50 ambao uje uchambue watu 18 tu waliokidhi viwango?
Watafanyia vetting watu wangapi? Je wao wapo wangapi?
Acha uoga mzee within three weeks utakua kazini, kuna jamaa nafaham wamepata placement november katkat na saivi washaanza kazi officially.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila la kheri mzee.Itakuwa jambo jema sana, unasitirika.
Wengine tushajilipua kitambo maana umri nao unakimbia, tunakimbiza vyote kwa pamoja.
January mwishoni kijana wangu anatimiza mwaka 1, umri wa vidudu ndio huo unapisha hodi huku bado giza la mrija limetanda, Mungu atie wepesi aisee angalau aje apate nauli ya gari la njano
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]imani na wewe sina
Pakujishikiza hapoHahahaha! Asante sana kwa kuliona hilo Mkuu. moneytalk anataka kuchanganya watu akili.
Labda kama awe ni wale ladies and gentlemen.
Kweli mkuu jipangeni.Safi sana na mimi nijipange kwa ndoa
Itakuwa jambo jema.Kila la kheri mzee.
Nakutabiria june mwakani hautafika utakua ushalamba asali tayari.
u never know kilhappen nini kuleTafadhali, niachie mimi hili suala.
Nalisimamia, na siku matokeo yakitoka umefanya vizuri usije ukajidai umetumia akili zako tupu na kunisahau.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji848][emoji848][emoji848]mimi ni ladies an gentlemen
nimemaliza utata sasa balozi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji848][emoji848][emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
mimi ni ladies an gentlemen
Utata umeisha Sasa kazi Iendelee.nimemaliza utata sasa balozi
Ila bado nina sintofahamunimemaliza utata sasa balozi
Tofautisha Barua ya Placement na Barua ya Ajira ni vitu viwili tofauti naomba ulijue hilo kijana.Ndo majukumu ya kazi hayo, kwasababu unatoaje barua ya placement kwa mtu ambae hajafanyiwa vetting?