Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Itakuwa jambo jema sana, unasitirika.

Wengine tushajilipua kitambo maana umri nao unakimbia, tunakimbiza vyote kwa pamoja.

January mwishoni kijana wangu anatimiza mwaka 1, umri wa vidudu ndio huo unapisha hodi huku bado giza la mrija limetanda, Mungu atie wepesi aisee angalau aje apate nauli ya gari la njano
Safi sana na mimi nijipange kwa ndoa
 
Itakuwa jambo jema sana, unasitirika.

Wengine tushajilipua kitambo maana umri nao unakimbia, tunakimbiza vyote kwa pamoja.

January mwishoni kijana wangu anatimiza mwaka 1, umri wa vidudu ndio huo unapisha hodi huku bado giza la mrija limetanda, Mungu atie wepesi aisee angalau aje apate nauli ya gari la njano
Kila la kheri mzee.

Nakutabiria june mwakani hautafika utakua ushalamba asali tayari.
 
Hahahaha! Asante sana kwa kuliona hilo Mkuu. moneytalk anataka kuchanganya watu akili.

Labda kama awe ni wale ladies and gentlemen.
Pakujishikiza hapo
IMG_20221214_163712.jpg
 
Back
Top Bottom