Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Jaman tusubri tu wakuu Kama Kuna watu wamepigiwa simu basi hawa itakua labda taasis au ofisini Ilikua inataka watu watano tu jumla wa kazi zote walizotangaza ila wale wa mkeka mrefu hawezi FANYA hivyo jamani (najipa moyo hapa)🤣🤣🤣 nakupeni mfano mie nilifanya mwezi wa sita za veta aisee watu wengi walikua wanahitajika kwa maaana ya

1 carpenter
2 fundi masson
3 painter
4 mechanic
5 electricity
6 electrical
7 Computer application
8 na nk


Sasa ukipiga tatal hapo wanaweza wakafika 35 so wote hawa na connection???? Hapana siamini na kama wamepigiwa simu basi ni balaa tupu
 
Kwa mashuhuda kuna taasisi tayari ndiyo maana nikasema watu wajaribu kuuliza kwe taasisi usije kuwa unashindwa kupambania kidogo ulichonacho kwa nguvu kwa mategemeo ya kikubwa ulichopambania
 
Acha kulia lia mitandaoni, DUCE waliwaambia watawapigia simu mtakaopass written, kama hukupigiwa simu inamaana hukupass, jilaumu kwa kutofanya vizuri hiyo interview na sio kuwalaumu DUCE.
Si kweli duce walisema saa tisa jana 14/9/2022 wataweka mkeka kwa website ya chuo lakini haeakufanya hivyo. Pia saili nyingi za ajira portal ukifanya unaposaini lazima uandike namba yako ya simu ila jana hatukuandika pia hata namba tu za mtihani silikuja kwa kuchelewa . Katika saili zote nilizofanya kupitia ajira portal ya jana Duce imekaa kimchongo sana.......pia ile saili imesimamiwa na chuo asilimia 80 na asilimia 20 tu hivyo lawama ziende kwa Duce na si AJIRA PORTAL. yote ya yote tusikate tamaa mie nipo njiani naelekea Dodoma kwa usaili wa ADEM
 
Umekula Chuma Mzee 😂
 
Nikifikiria lile nyomi la kuanzia mwezi wa tano katika kupambania mirija ya asali halafu ngoma ifunikwe hivi hivi daah
Mm nipo nasubiri ahadi ya Waziri jenista mhagama
Ya kuwa tutakuwa tunafanya interview katika mikoa tunayotoka na sio , kulundikana udom,
 
Wenzao MUCE mbona wametoa matokeo kwenye mfumo tayari kwa nini DUCE matokeo iwe siri?
 
Nipo nasubiri ahadi ya Waziri jenista mhagama,
Ya kufanya interview katika mikoa tunayotoka,
Hii itapunguza watu kulundikana udom cive, duce
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…