Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mimi mwaka 2020 niliwahi kuwa SELECTED for oral interview na siku ya usahili nikasafiri toka Arusha kwenda Dar kwaajili ya interview jina likakosekana kwenye orodha ya wasahiliwa. Walinikataa na kudai wao wanafuata orodha waliyopokea toka watu wa database.
 
kutoka database wafanye usahili tena au wagaregare kwenye mrija wa asali
 
Kuaga kwa kusema Asante haina tatizo binafsi nadhani kama alikosa ni sababu ya majibu aliyoyatoa kwenye Panel. Na sio sababu ya neno Asante.
 
Kuaga kwa kusema Asante haina tatizo binafsi nadhani kama alikosa ni sababu ya majibu aliyoyatoa kwenye Panel. Na sio sababu ya neno Asante.
Yaaah, jamaa alikuwa na wenge sana,, unajua kwa ambao tushawahi kuhudhuria oral kama pale utumishi Ikiwa previous qns umejibu utumbo(Yaan Bora ujibu) basi next qns unakuwa na tension sana baada ya kufikiria swali lililopo unawaza lile lililopita. Hapo wakati wa kuondoka lazima ujikwae na hata vyeti vyako unaweza kusahau 😁
 
Unaweza pita wenzio kwa wenge na ukadai hujawaona
 
Namba yako ya mtihani(written) pamoja na pdf ya matokeo uliwaonesha?
 
Asubiri PDF kama bado haijatoka
 
Kwahyo hizi saili zinafanyika mikoa tofauti na mitihani pia iko tofauti..? kama Iko sawa.. why watu wa mkoa mmoja wakitoka mapema si watasambaza nyanga kwa watu wa mikoa mingine..;;
Nawaza tu
 
Kwahyo hizi saili zinafanyika mikoa tofauti na mitihani pia iko tofauti..? kama Iko sawa.. why watu wa mkoa mmoja wakitoka mapema si watasambaza nyanga kwa watu wa mikoa mingine..;;
Nawaza tu

Ndio mkuu zinafanyika katika mikoa minne tofauti ambayo ndio makao makuu ya kanda. Ambayo n Dar es salaam, Dodoma, Mwanza pamoja na Mbeya.

Sababu kuu ya usaili wa kuandika kuchelewa ni kuhakikisha venue zote wamekamilisha utaratibu wa ukaguz wa vyeti ili wasailiwa wote waanze usaili pamoja.

Kuna baadhi ya kanda kama Mbeya na Mwanza wasailiwa walikuwa wachache, kwa hyo hata kama wamemaliza zoezi la ukaguzi mapema itawapasa wasubiri wenzao wa kanda nyinginezo ili waanze pamoja.
 
kama ni pepa ya leo iþakuwa ni Custom officer II hiyo. Swali la kwanza lilikuwa na hizo multiple choice.....unazungushia duara jibu/majibu sahihi. Maswali mengine matatu yalikuwa ya kujieleza isipokuwa moja lilikuwa la hesabu.
Duuh multipe choice zao zinaconfuse sana niliwahi fanyaga. Poleni na h0ngeren customs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…