Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

nasema ivyo nilifanya usahili kampuni x wanataka watu wawili tulikua watano prac wa kwanza alipata 85 wa pili 83 na wa tatu 78 na kushuka chini nauliza je huo mlolongo kushuka chini ni mdogo sana sio maksi nyingi je wa kwanza anaweza kufeli
Tuchukulie mwenye Prac 85 then oral kapata 5, jumla itakuwa 90

Mwingine ana Prac 78 then oral kapata 15, jumla ni 93.

Kati ya hao nani kafaulu kwa marks za juu?
 
Japo kuwa hapo 92 gawa kwa 2 haifiki 50. Inatakiwa wakijumlisha hizo mbili wakigawa kwa 2 upate 50+
 
Kwa mimi ni huyo wa 93
Kwa kuongezea kati ya hao na aliyepata practice 70 na oral 30 ...total 100 gawa kwa 2 inakuwa 50 huyu atakuwa kalamba asali au kuna kuna mwingine atakuwa kapata zaidi yake basi huyu atabaki kwenye kanzidata (data base) ila wale wengine waliopata practice 90, oral 5 total 95 ukigawa kwa 2 unapata 47.5 huyu hata kuwa kwenye kanzi data hana sifa
 
Wengine written, na practice changamoto ila ukimpeleka kwenye kuongea anakukimbiza pia kwa waliosoma English medium na ungenge ukawa unapanda sana huyu ana advantage kubwa ya kuchukua kombe akifika kwenye oral na hasa kama anashindana na wakayumba ambao English sio rafiki sana kwao japo wapo wazuri pia kwenye kiinglish japo wamesoma kayumba
Sure kwenye oral sometymz ung'eng'e ukiwa vzuri unakusaidia kuelekea kuilamba asali
 
Kwa kuongezea kati ya hao na aliyepata practice 70 na oral 30 ...total 100 gawa kwa 2 inakuwa 50 huyu atakuwa kalamba asali au kuna kuna mwingine atakuwa kapata zaidi yake basi huyu atabaki kwenye kanzidata (data base) ila wale wengine waliopata practice 90, oral 5 total 95 ukigawa kwa 2 unapata 47.5 huyu hata kuwa kwenye kanzi data hana sifa
utofauti wa maksi 5 au 7 au 10 sio nyingi kumbe waweza pinduliwa nikajua ukiwa wa kwanza umepita kumbe no ila unakua na chance kubwa kama unawazid wenzio kwa mbali ila kama utafauti ni maksi 7 rahis sana kupinduliwa
 
Sure kwenye oral sometymz ung'eng'e ukiwa vzuri unakusaidia kuelekea kuilamba asali
Unaweza kuwa vzr kweny ung'eng'e lkn Kama ukipigwa maswali ukawa unayomajibu ,lkn Kama majibu huna au hola ung'eng'e haukusaidiii atakidogo tutambue Hilo [emoji1][emoji1]

Sifa majibu tu na hasa hasa hz sahili za utumishi ni point zako 5 zinazohitaji pumzi ya kutosha ...ss we njoo na kiingereza chako Halaf unajibu OP ndio utajua hujui[emoji23][emoji23]
 
Inategemea kaka mm nlifanya oral kuna swali nlipgwa nkawa najijibia tuu kwakua sikusoma ivo vitu lakini placement kuja kutoka nkalamba asali
 
Ni sahihi:
Oral = Jumla
Kwa kada ambazo hazina Prac wala Presentation

Prac + Oral = Jumla
Kwa kada zenye Prac

Presentation + Oral = Jumla
Kada zenye Presentation
Hvwewe Mwifwa haya mambo unayatoa wapi.. unaonekana unajua sana kana kwamba ni mtu wa PSRS😁😁..
Hebu tuecheni jamani tusibirie placements tu hapa haya mambo ya marks tuwaachie wenyewe PSRS..

PSRS pigeni kazi huko ofisini..sie Majobless tunawategemea saaaaaan
 
Hvwewe Mwifwa haya mambo unayatoa wapi.. unaonekana unajua sana kana kwamba ni mtu wa PSRS[emoji16][emoji16]..
Hebu tuecheni jamani tusibirie placements tu hapa haya mambo ya marks tuwaachie wenyewe PSRS..

PSRS pigeni kazi huko ofisini..sie Majobless tunawategemea saaaaaan
Hahahaa, nimepitia kanuni zao kwenye kipengele cha ALAMA ZA UFAULU ndio nikaja na hiyo samari
 
Ndio hivyo mkuu, ukivurunda oral wakati una marks nzuri Prac uko kwenye risk ya kubwagwa chini na wengine
Nilihudhuria interview za MDH written na prac zote niliongoza mimi oral tulingia 14 wanahitajika watu sita ila nilifeli sababu nadhani waliponiuliza nichangue lugha ntakayokua comfortable nkachagua kiswahili pia kuna swali la qualities of civil servant nilipata point 3 badala ya 6 .

Pamoja na kwamba niliongoza uko nyuma ila nilichemkia oral.
 
Shida unaweza chagua kiswahili lkn majibu yako muda mwingine yakahusisha baadhi ya maneno ya kiingereza umepigiwa hapo ,,
 
Nilihudhuria interview za MDH written na prac zote niliongoza mimi oral tulingia 14 wanahitajika watu sita ila nilifeli sababu nadhani waliponiuliza nichangue lugha ntakayokua comfortable nkachagua kiswahili pia kuna swali la qualities of civil servant nilipata point 3 badala ya 6 .

Pamoja na kwamba niliongoza uko nyuma ila nilichemkia oral.
Kosa la kwanza ni kuchagua Kiswahili ilionesha kabisa una wasi wasi na kimombo chako halafu ukilinganisha na shirika(MDH).

Ungekomaa na Kiingereza tu hata kama ni broken, hapo ikionesha ujasiri wa kuthubutu ambapo ungeweza kuimprove siku za mbeleni ukiwa unapractise
 
Back
Top Bottom