Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Muda bado unaruhusu, ngoja saa sita ipite ndio tutahitimisha kuwa siku ya leo jinsi ilivyomalizika patupuPlacement ya kuzugiiia leo hamnaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda bado unaruhusu, ngoja saa sita ipite ndio tutahitimisha kuwa siku ya leo jinsi ilivyomalizika patupuPlacement ya kuzugiiia leo hamnaaa
Mimi pia nimo humo nasubiria...@billionea alpha mnasubria za Mchumi, mtakwimu na planning officer -TGS D hizi Bado za MDAs na LGAs
Hizi za tra hukuomba?Kila la kheri wote mnaoenda kukandwa leo.
Mungu awe upande wenu
Hamna sababu sema ndio siwez zagi ku comment(kuchangia mada) wala ku Pm mtu.Kwamba hawakutaka tujadili hayo makosa yao?.
Kwa hiyo ukilog in kwenye web na ID waliyopiga ban wanakuletea sababu hiyo?
Kuwa mpole PAUL bae zitatoka tu zitakuwa Kama hizi za TRA Maana naamini mtakuwa wengi sana watu wengi sana
Maana mchumi-70 , watakwimu-70 na maafisa mipango - 26
Hapo lazima nyomi iwepo ya kugombania nafasi ya TGS D
Kikubwa jiandae
Ushapata kazi mkuu..?Tgs d ni mshahara wa kiasi gani?
tgs d kuazia 563000 hadi 863000Ushapata kazi mkuu..?
Unaachwa vizuri tu.ivi ukipata practical may be 90 anaekufata akawa na 80 au 75 marks je mkienda oral interview anaweza chukuliwa wa 75 au kushuka chini akaachwa wa 90 au 80 marks
Mara nyingi wenye marks kubwa wanajisahau na kuwachukulia poa wapinzani wenzao kwa Oral na hapo ndio wanafeli vibaya mno.ivi ukipata practical may be 90 anaekufata akawa na 80 au 75 marks je mkienda oral interview anaweza chukuliwa wa 75 au kushuka chini akaachwa wa 90 au 80 marks
Intgema na marks za oral...usaili wenye practical hujumlishwa marks za prac na oral mwenye nyingi ndio hupewa kaziivi ukipata practical may be 90 anaekufata akawa na 80 au 75 marks je mkienda oral interview anaweza chukuliwa wa 75 au kushuka chini akaachwa wa 90 au 80 marks
Ni kweli kbsaMara nyingi wenye marks kubwa wanajisahau na kuwachukulia poa wapinzani wenzao kwa Oral na hapo ndio wanafeli vibaya mno.
nasema ivyo nilifanya usahili kampuni x wanataka watu wawili tulikua watano prac wa kwanza alipata 85 wa pili 83 na wa tatu 78 na kushuka chini nauliza je huo mlolongo kushuka chini ni mdogo sana sio maksi nyingi je wa kwanza anaweza kufeliMara nyingi wenye marks kubwa wanajisahau na kuwachukulia poa wapinzani wenzao kwa Oral na hapo ndio wanafeli vibaya mno.
Sifa mkuu, zipo kushotoHizi za tra hukuomba?
Basi life liendelee tu.Hamna sababu sema ndio siwez zagi ku comment(kuchangia mada) wala ku Pm mtu.
kaz yangu ni ku view tu
Mkienda oral, mnaanza moja marks zenu za mchujo hazina kazi tenaivi ukipata practical may be 90 anaekufata akawa na 80 au 75 marks je mkienda oral interview anaweza chukuliwa wa 75 au kushuka chini akaachwa wa 90 au 80 marks
Wengine written, na practice changamoto ila ukimpeleka kwenye kuongea anakukimbiza pia kwa waliosoma English medium na ungenge ukawa unapanda sana huyu ana advantage kubwa ya kuchukua kombe akifika kwenye oral na hasa kama anashindana na wakayumba ambao English sio rafiki sana kwao japo wapo wazuri pia kwenye kiinglish japo wamesoma kayumbaMara nyingi wenye marks kubwa wanajisahau na kuwachukulia poa wapinzani wenzao kwa Oral na hapo ndio wanafeli vibaya mno.