Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

ivi ukipata practical may be 90 anaekufata akawa na 80 au 75 marks je mkienda oral interview anaweza chukuliwa wa 75 au kushuka chini akaachwa wa 90 au 80 marks
Unaachwa vizuri tu.

Komaa, tena toa hiyo kitu kichwani kua uliongoza.

Fanya kama unaingia vitani upya , jiandae vizuri, jiamini mbele ya panel, usisahau kumtanguliza Mungu mbele.
 
Mara nyingi wenye marks kubwa wanajisahau na kuwachukulia poa wapinzani wenzao kwa Oral na hapo ndio wanafeli vibaya mno.
nasema ivyo nilifanya usahili kampuni x wanataka watu wawili tulikua watano prac wa kwanza alipata 85 wa pili 83 na wa tatu 78 na kushuka chini nauliza je huo mlolongo kushuka chini ni mdogo sana sio maksi nyingi je wa kwanza anaweza kufeli
 
Mara nyingi wenye marks kubwa wanajisahau na kuwachukulia poa wapinzani wenzao kwa Oral na hapo ndio wanafeli vibaya mno.
Wengine written, na practice changamoto ila ukimpeleka kwenye kuongea anakukimbiza pia kwa waliosoma English medium na ungenge ukawa unapanda sana huyu ana advantage kubwa ya kuchukua kombe akifika kwenye oral na hasa kama anashindana na wakayumba ambao English sio rafiki sana kwao japo wapo wazuri pia kwenye kiinglish japo wamesoma kayumba
 
Back
Top Bottom